- Thread starter
- #41
We all want the same thingJibu ni Katiba Mpya ili kuwazibiti Wazalendo wachumia tumbo
We all want the same thingJibu ni Katiba Mpya ili kuwazibiti Wazalendo wachumia tumbo
It seems you want to discuss about the term 'policy', which unfortunately you know nothing about. An intelligent person would firstly take courage to study and understand the phenomenon before indulging into discussion. Please be advised to do it.Do we need any policy to be paid our TZS 450 Trillion?!
Oh! What did you just say sir?! "If still claim there's no policy....!"
Brilliant!! Can you put here the said policy?! The policy that will make Acacia pay 450 Trillion!!
NOTE: Dunia is full of average people!!
Will you please answer my question?!It seems you want to discuss the term about 'policy', which unfortunately you know nothing about it. An intelligent person would firstly take trouble to study and understand the phenomenon before indulging into discussing it. Please be advised to do it.
Mimi nimuelewa, jamaa anamaanisha kuwa ni bora usiwepo Mchakato wowote unaolenga kurekebisha Katiba, kwasababu utakapofanyika Mchakato huo, wale wanaotaka Rais aongezewe muda wa kuongoza, watatumia mwanya huo kushinikiza watu wakubali mpango huo mbaya .hata sikuelewi maneno mengi,maandishi mengi ila nimeelewa point moja tu ''shetani la katiba mpya shindwa'
"Do we need any policy to be paid our TZS 450 Trillion?!Will you please answer my question?!
And what did you just say?! I know nothing about the policy?! Why should I be interested about it while I never said even a thing or two about policy!
Do I need to remind you that you're the one who irrelevantly talked about policy?!
Again, outline your policy here or else you prove to be among the average people am talking about and probably those below the average! And you revealed that possibility from the very minute you brought up about the issue of policy to a discussion that didn't need that shit!
Again, outline your policy that will make Acacia pay TZS 450 Trillion or else; stop bringing irrelevant stuff... read, understand then comment.
Sababu wengi wao ni "Average mind people /Simple mind people ".Umeandika article ya nguvu japo watu wengi hawakuelewi .....
You're very funny Boss!! My thread talked about TZS 450 Trillion but instead you came up with:"Do we need any policy to be paid our TZS 450 Trillion?!
Oh! What did you just say sir?! "If still claim there's no policy....!"
Brilliant!! Can you put here the said policy?! The policy that will make Acacia pay 450 Trillion!!"
As a result of your irrelevant response, that's why I asked you if we need any policy in response to our TZS 450 Trillion!!You nailed it. And you are definitely part of '...full of average people' if still claim there is no policy up date regarding the above.
Acha ujinga ndg....hii inawasaidi sana ktk kupitisha kila hoja mbaya na nzuri kutokana na wingi wao....it is all about number of votesTheir boots doesn't help anything, just think we are poor for long time now since they got in power and nothing they have done to rescue their citizens from the poverty.
SawaAcha ujinga ndg....hii inawasaidi sana ktk kupitisha kila hoja mbaya na nzuri kutokana na wingi wao....it is all about number of votes
hahahaaa mimi nimekuelewa mnooo hoja yako imeshiba haswaaaa ....Of course!! Na hawanielewi kwa sababu ile ile niliyoisema!
hauwezi kupata hizo asilimia kwa sabbu dunia INA average people ..na miongoni mwao wapo watu wanaopatikana kutoka katika hayo hayo maeneo uliyoyataja.nahata wale wachache wanaojitambua hawawezi kukaachini nakukusanya hzo data kwaajili ya kuutumia muda wao ktika kuhakikisha wanajipndekeza ...Mkuu unakusanya wapi hizi data?
maana nauwakika hata ukienda Lumumba pale au Dodoma hautopata hizo asilimia.
Wengine waliingia kichwa kichwa na hapo hapo wakajikuta wamejidhirisha wenyewe na hivyo kuamua kuondoka kimya kimya!Mada nzuri sana ila average and underaverage people hawawezi kujadili hiyo.
I hope na wengine wataelewa tu!!hahahaaa mimi nimekuelewa mnooo hoja yako imeshiba haswaaaa ....
Na hao "average Joe's" waliopo bungeni wanaopenda kupiga "yowe" za "ndio" lazima watampa madaraka na uhuru wa jamaa kuongezewa mda kutawala.Mimi nimuelewa, jamaa anamaanisha kuwa ni bora usiwepo Mchakato wowote unaolenga kurekebisha Katiba, kwasababu utakapofanyika Mchakato huo, wale wanaotaka Rais aongezewe muda wa kuongoza, watatumia mwanya huo kushinikiza watu wakubali mpango huo mbaya .
Nikiwaza utaratibu wa mchakato wa katiba mpya unavyotakiwa kuwa basi naona mtu akila miaka 7 bila kikwazo.
Ile ndoto ya kumpunguzia madaraka itafutika rasmi na itapatikana nguvu zaid ya hii aliyonayo sasa hivi.
Hebu tujiulize ile tume inayochaguliwa na Rais itakuwa na watu gani na je nani kati yao atajaribu kwenda kukusanya maoni tofauti na ya aliyemteua kwenye hiyo tume? Yaani mtu apewe nafasi ya kusoma rasimu inayompinga huyu mtu anayejiita JIWE tena mbele ya Ndugai, kama watu wasiojulikana wamehama nchi itawezekana.
Tunaitaka katiba mpya sana, ila chini ya huyu MTU tutapata katiba mbovu kuwahi kupatikana chini ya jua.
Mmenielewa kwa 101%! Wengine wanadhani napinga suala la katiba mpya kumbe nina hofu ya katiba tunayoweza kupata under this regime ambayo inaweza kuwa mbaya maradufu kuliko katiba iliyopingwa ya JK!Na hao "average Joe's" waliopo bungeni wanaopenda kupiga "yowe" za "ndio" lazima watampa madaraka na uhuru wa jamaa kuongezewa mda kutawala.
Yaani badala ya wao kujadili na kubadili vitu vya msingi kwenye katiba, wata-concentrate na "muda wa raisi madarakani".
Hoja ya chige ina mashiko, ni heri tukaachana na mabadiliko ya katiba kwa sasa, after all bunge limejaa very stupid individuals na wengi ni selfish wakiangalia maslahi yao na chama chao.