Recent content by maliyamungu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Yusuf Manji mikononi mwa TAKUKURU baada ya kurejea nchini

    Mfanyabiashara wa Tanzania Yusuf Manji anashikiliwa na mamlaka ya kuzuia na kupambana na rushwa nchi Tanzania Takukuru akikabiliwa na tuhuma tatu, baada ya kurejea nchini Tanzania kutoka nje ya nchi . Kwa mujibu wa Kamanda wa Takukuru kamishna wa Polisi Said Hamduni, Manji anashikiliwa toka...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Bashiru Ally pole lakini maneno huumba

    Kweli maisha funzo Daaah bashiru kajambaa kwenye Maji.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

    Kipindi kile walikuwa watu wote waliokuwa wanajulikana wauza Unga waliwekewa Unga hakuna muuza Unga kwa kipindi kile anaeweza kuweka Unga ndani tena kwenye mkoba.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

    Makonda na team yake waliwaekea Madawa ya kulevya kweli nsembo alikuwa anauza Unga na sio shamimu Sema nsembo hakuwa na Unga ndani kawekewa na kina makonda na team yake inauma sana na Mungu atamlipa makonda na uzao wake
  5. M

    JamiiForums Tanzania Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

    Inauma na inachoma shamimu kufungwa maisha na dada wa watu hauzi Unga na aliewaekea Unga ni makonda huyu makonda huyu Mungu atamuonesha kabla hajafa na uzao wake ni Roho mbaya sana.
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nyanya wa Barack Obama, Bi Sarah Obama afariki dunia

    Rip
  7. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kikwete: Ninaandika kitabu cha historia yangu ambacho ninaelezea mambo mengi hata yale msiyoyajua!

    Maisha bwana Leo Uzi wa Jk na hatukanwi kipindi cha Nyuma mlikuwa mnatukana tu.
  8. M

    JamiiForums Tanzania DC Jerry Muro hongera kwa kuanzisha English Medium School Arumeru

    I gareeee you
  9. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli ndani ya miaka mitano Serikali imeajiri walimu laki tatu?

    Scha uongo laki 6
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kuzuiwa kwa mikusanyiko mwisho wa Mwaka: Kilio kwa Waziri Simbachawene

    Mungu awaponye na ya Dunia
Back
Top Bottom