Recent content by Malisiale

  1. M

    JamiiForums Tanzania Je, Dkt. Dorothy Gwajima ataiweza vita dhidi ya ushoga?

    Askari wanalalamikiwa kulawiti maabusu kimya,joti kimya, delicious kimya arijaribu makonda akashindwa Tena waziri akatangazia Dunia sio msimamo wa serikali sawa huyu atakuwa anajifurahisha tu.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa A level kwangu ni huu

    Kwanza level 4 sio diploma ni cheti.4&5=cheti 5&6=diploma 6&7=degree 8&---- Kwanza diploma anasomea ujuzi kazi anaweza kuajiliwa.six Bado elimu jumla huna ujuzi wowote.
  3. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Padri Kitima: Kulikuwa kuna maana gani kuwaambia watu wakae ndani halafu wanafuatwa mtaani na majumbani na kuuawa?

    Hacha ujinga siku baba,mama,ndugu zako wakifa video visivyo kawaida utapata akili
  4. M

    JamiiForums Tanzania Serikali iwe makini sana. Isizalishe waasi au magaidi nchini

    Bora kusikiliza na kuelewa bila kusikilizwa asiyesikia la mkuu uvunjika mguu.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tukio la mwanafunzi aliyejifungulia chooni limemtia aibu RC zaidi kuliko hata hao walimu

    Rea mwanao utakavyo wewe husisikilize ujinga wa wapiga kelele wakati wakwao wapo international.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Twaweza wakwepesha jina la anayeongoza

    wewe na nani?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa Rais UKAWA, Mwenza - Slaa, Lipumba - Waziri Mkuu, Zitto naye ndani

    mwenza anapaswa atoke zanzibar kama una la kuandika tulia.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nimefanya mapenzi bila mpira

    Acha ngono zembe wakati una mke,je ulioa hili iweje?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya mkakati wa Team Lowasa kuvuruga kikao cha Kamati Kuu kuumbuka, Nchimbi amtishia Kikwete

    hivi nani sio fisadi ccm,na mfumo wao wa ten percent?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nape, tuambie ufisadi wa Lowassa

    Alitumwa hivyo kama ni kuwaandama wote watajwe!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nampenda sana mtoto wa binamu yangu, nitaruhusiwa kumuoa?

    Tafuta wengine huyo mwanao.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa aungana na Gwajima kumtukana Kardinali Pengo

    Mjinga pekee ndio atafikiria kwamba watangaza nia wa ccm au viongozi wote wa juu ccm kuna masikini! Wataje hao maskini kama wapo.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Lowasa taabani kwenye Media. TBC1 na Star TV wakataa kurusha habari yake

    Kwani wewe umefaidika nini na umbea wako? Chombo cha habari ni biashara kama nyingine hawawezi kupata mteja waache pesa.tbc na startv ni ccm.
Back
Top Bottom