Recent content by MALINYIKWE2

  1. M

    JamiiForums Tanzania Waziri gani katika awamu hii ya tano anaweza kukumbukwa kwa utendaji wa uzalendo?

    Mwigulu naye kama anapwaya maana wizara kubwa na imebeba matumaini ya watanzania wengi
  2. M

    JamiiForums Tanzania Haya ndiyo maandishi ya kwenye Sanamu la Askari

    Dogo ametuaibisha sana wa kule
  3. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli: Watumishi hewa wamefikia 10,295. Ashusha kiwango cha kodi katika mishahara

    Mwaka huu utapanda hadi buku sita kasoro
  4. M

    JamiiForums Tanzania Bashe aanza kuwa kituko

    Tatizo aliupata ubunge kwa mbwembwe nyingi hadi akasahau wajibu wake
  5. M

    JamiiForums Tanzania DC Polepole aenda Supermarket na Kundi la Polisi

    Tuwaache wateule wa Rais wapige kazi walioelekezwa ila bado kazi ipo wasichukulie kila kitu kutumbua na kujisifu ndo utendaji wa kazi
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mada moto live on Chanel Ten: Kuzorota kwa mizigo bandarini

    Mkinga namkumbuka alituhamasisha wana vyuo kugoma kudai haki zetu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari Tanzania na Uchagizi Zanzibar!

    Bila uoga na aibu wanaandika Kuwa Kashinda kwa zaidi ya 91% it's shame indeed
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye kanishangaza sana!!

    Nahitaji TBC iwe chombo kinachotazamwa na watanzania wengi tofauti na sasa wazee tu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Siri ya 'upole' wa Rais Magufuli BOT

    Ila wakuu kwanini ikatokea Kuwa watoto wa vigogo tu wanapata fursa BOT halafu tunawatukuza hao viongozi wakati kulikuwa na watanzania wengi pia wenye sifa kama zao
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hebu tuwe serious: Lugha ya Rais inatusaidia nini?

    Muhimu kazi ifanyike na wananchi wapate huduma muhimu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afanya ziara Benki Kuu, aongea na uongozi

    Kweli hapa kazi tu
  12. M

    JamiiForums Tanzania CCM wanatumia watoto wadogo kwenye siasa

    Dah! Kazi ipo
  13. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Lowassa Kanisani Leo

    Hiyo pouwa sana. tatzo si kwenda kanisani wala msikitini, sema watu wakikuamin watakuchagua viva LOWASSA
  14. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Lowassa Kanisani Leo

    Hiyo pouwa sana. tatzo si kwenda kanisani wala msikitini, sema watu wakikuamin watakuchagua viva LOTWASSA
  15. M

    JamiiForums Tanzania Serikali kuanza kulipa madeni ya walimu

    nadhan mshahara wa mwez october utatoka kabla ya tareh 22 ili jamaa wapate kura
Back
Top Bottom