Mada moto live on Chanel Ten: Kuzorota kwa mizigo bandarini

Allyoki

JF-Expert Member
Mar 23, 2007
258
144
Leo kwenye kipindi cha mada moto live saa nne kamili kwenye channel ten mada itazungumzia kuzorota kwa bandari ya Dar es salaam nani wa kulaumiwa? Wageni ni rais wa malori Tanzania nd.Elias Lukumay na nd. Mkinga na mtaalam wa C & F.
 
Polepole hayupo? Maana huyo kesha geuza Chanel 10. Ndio Ofisi yake
 
Leo kwenye kipindi cha mada moto live saa nne kamili kwenye channel ten mada itazungumzia kuzorota kwa bandari ya Dar es salaam nani wa kulaumiwa? Wageni ni rais wa malori Tanzania nd.Elias Lukumay na nd. Mkinga na mtaalam wa C & F.
Poa mkuu, kuna umuhimu wa kumsililiza Mkinga anavyonguruma na kutupa mawe.
 
kwa haya yanayosemwa,task force muhimu sana kuifanya bandari yetu iwe katika ushindani na kuweza kuongeza mapato kwa wingi wa mizigo na sio wingi wa gharama kwa mizigo michache.
 
Back
Top Bottom