Recent content by malingas

  1. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwana JamiiForums Miguu ya Kuku/ Mpauko afariki dunia

    Kijana alikuwa bado mdogo alikuwa na nafasi bado ya kupata maisha aliyoyahitaji.Niwahase nyie vijana mlipo humu wakati mwingine mambo yakiwa magumu msikimbilie kukatisha maisha yenu . Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwana JamiiForums Miguu ya Kuku/ Mpauko afariki dunia

    Basi Mimi niliwawakilisha msibani . mpaka kijijini kwao Mufindi alizikwa 26.01.2020. Sikujua kama alikuwa member. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    JamiiForums Tanzania Katika kila watu 10, Kuna Wana CCM 7

    Muda ni mwalimu Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Robo Fainali Klabu Bingwa Africa: TP Mazembe 4 - 1 Simba SC

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Robo Fainali Klabu Bingwa Africa: TP Mazembe 4 - 1 Simba SC

    Hawa Jamaa wanakelele sana bora wamefungwa mtaani watatulia Leo Sent using Jamii Forums mobile app
  6. M

    JamiiForums Tanzania RC Happi: Hakuna wa kunitisha, Siku zao zinahesabika! 2020 Mbunge Iringa anatoka CCM

    Uwa tunasemaga swela .hatupangiwi kabisaaa. labda nimkumbushe raisi wetu wa Iringa kuwa Msigwa hakuwahi kuwa mwanasiasa sisi ndio tulitaka awe mbunge baada ya chama tawala kutulazimisha tumchague Mh Monica Mbega sisi Tulimtaka Mwakalebela . Sent using Jamii Forums mobile app
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa mkoa Iringa mh Salum Hapi kufanya mikutano ya nyumba kwa nyumba ili kusikiliza kero za wananchi

    Mwambie akitaka ccm ishinde ajaribu kusaidia upatikanaji wa hati za makazi yetu kwa sababu huu ndio ugonjwa sugu la sivyo tutaendelea Kula pesa zenu afu tunabaki na mchungaji wewe.asikuambie mtu iringa sisi tunataka mtu na siyo chama.[emoji111][emoji111] Sent using Jamii Forums mobile app
  8. M

    JamiiForums Tanzania viongozi chadema epukeni mtego huu wa kishamba kwa jina la Mungu

    Muda ni mwalimu mzuri sana . Sent using Jamii Forums mobile app
  9. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, tumbua watendaji Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu kwa kushindwa kufanya haya...

    Bila shaka imekuwa chai leo asubuhi. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini mwalimu aliyemchapa mtoto hadi kufa amehukumiwa kunyongwa?

    Hapa chama cha walimu ndipo kinatakiwa kimsaidie huyu mwalimu sithani kama alikusudia kuuwa.Angepewa kifungo cha miaka 3 .Ikawa fundisho kwake na walimu wengine wenye tabia kama zake.Kitendo cha kunyongwa mpaka kufa kitawafanya walimu wengi wawe waoga hapo hawataweza kuwasaidia wale watoto...
  11. M

    JamiiForums Tanzania MCHAMBO WA LEO:MAJI YA BAHARI HAYAPIKIWI CHAI

    [emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088] Sent using Jamii Forums mobile app
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya mafuta ya Davis Mosha, Kobil Oil imeuzwa rasmi

    Sema toka Mosha akiwa utingo wa magari ya kubeba mafuta wakati huo alikuwa anafanya kazi ya ukonda pale kituo cha mafuta Kibaha .kile kituo kilikuwa kinaitwa puma Sent using Jamii Forums mobile app
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Namaingo wakijadili uwekezaji wa nyuki, kilimo cha korosho na alizeti..

    Hawa naona bado hawajajifunza wawaulize wenzao waliambiwa kalipie pesa za mradi wa mashamba kule Rufiji mpaka leo zimebaki hadithi kila wakitaka kwenda wanaambia walipie .Mimi sitaki tena naomba wanirudishie pesa yangu. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. M

    JamiiForums Tanzania Haonga (MB): Kukamata wapinzani Kila Mara kunatuimarisha zaidi

    Wengine walisema hivyo hivyo tukawahamini alafu kesho yake unasika amejivua uwanachama na nyazifa zake zote ndani ya chama chake .hapo ndio mnapotuchanganya .sijui tuamini lipi lakini wacha tu nipite[emoji860][emoji860][emoji860][emoji860][emoji860][emoji860] Sent using Jamii Forums mobile app
  15. M

    JamiiForums Tanzania Siisikii Kauli mbiu ya Tanzania ya Viwanda na Uchumi wa kati

    [emoji2210][emoji2210][emoji2210][emoji2210][emoji2210][emoji2210][emoji2210][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089] Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom