Recent content by malimamalima

  1. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la Shyrose Bhanji na agenda ya Wanyarwanda kumng'oa Spika wa Bunge la Afrika Mashariki

    Mimi nilifuatilia sakata lote la Spika wanayetaka kumtoa na jinsi wabunge wa Tanzania walivosimama kumsaidia huyo mama. Ni wazi kabisa sasa dada Rose ina mcost kwa kuundiwa mizengwe. Rose anatakiwa pia kuwachukulia hatua kali hao wabunge wa Rwanda, Kenya na Burundi wasipotoa ushahidi wa tuhuma...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la Shyrose Bhanji na agenda ya Wanyarwanda kumng'oa Spika wa Bunge la Afrika Mashariki

    Tuhuma kwamba dada Rose ni mlevi mmezitolea wapi? Huu ndio uwongo ulioaminishwa kwa muda sasa ili kumchafua huyu dada.Ikiwa ana sifa ya ulevi mbona hatujawai kuona habari mbaya kuhusu yeye kulewa kupita kiasi! Sitaki kuamini habari mnazozusha kwamba ni mlevi. Kama kweli ana vuta sigara tatizo...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la Shyrose Bhanji na agenda ya Wanyarwanda kumng'oa Spika wa Bunge la Afrika Mashariki

    Tuhuma kwamba dada Rose ni mlevi mmezitolea wapi? Huu ndio uwongo ulioamonishwa kwa muda sasa ili kumchagua huyu dada. Ikiwa ana sifa ya ulevi mbona hatujawai kuona habari mbaya kuhusu yeye kulewa kupita kiasi! Sitaki kuamini habari mnazozusha kwamba ni mlevi. Kama kweli ana vuta sigara tatizo...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la Shyrose Bhanji na agenda ya Wanyarwanda kumng'oa Spika wa Bunge la Afrika Mashariki

    Shyrose ni mbunge wa EAC anafanya kazi yake vizuri na ipasavo. Acha majungu ndugu yangu haisaidii. Mpe heshima yake kwa kazi nzuri na kubwa anayofanya. Hongera sana Shyrose kwani wengine tuna heshima kubwa kwako. Ushauri wangu ni kuwa usikate tamaa endelea na moyo huo huo wa kupigania maslahi ya...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Vipi maandamano ya Nzega?

    safi sana Hamisi Kigwangalla
  6. M

    JamiiForums Tanzania Shyrose na Ndege PRIVATE kutoka DOM kwenda DAR!

    Dada yetu Shy-Rose sasa anapokea mpunga wa millioni 17 kwa mwezi huo ni msharaha tu wa EALA MP na zaidi ya hapo anapokea laki 9 kwa siku wakati yupo kwenye vikao na vikao mda mwingine vinaendelea kwa mwezi mzima achilia mbali matrip kibao...mtajisonyaje...LOL
  7. M

    JamiiForums Tanzania Richard Kasesela nae, eti ana falsafa za mwalimu

    hivi kasesela naye ni kijana???
  8. M

    JamiiForums Tanzania Shy-Rose awapa vidonge wanafiki wote!

    na wewe ni mmoja miongoni mwa wale wanafiki au? Acha wivu wa kike
  9. M

    JamiiForums Tanzania Deo Filikunjombe: Mbunge anayefanya makubwa jimboni mwake

    hongera kaka deo wewe ni mfano wa kuigwa
  10. M

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Igunga toka kwa NAPE: CCM Yaibuka Kidedea...

    Nape ndugu yangu kweli hii ni aibu iliyoje kwa chama tawala kupata ushindi wa kura ya tofauti ya 4000? haiingii akilini na cha kushangaza zaidi jinsi ulivyopost haya matokeo ni kama vile chama tawala kimeshinda kwa ushindi wa kishindo!!! Licha ya viongozi wote wa chama tawala na serikali yake...
  11. M

    JamiiForums Tanzania GE2010 TBC1 waupa mgongo uchaguzi wa Igunga

    TBC walikatisha matangazo ya igunga tangu asubuhi na wakaendelea na taarab na mambo mengi. Hii TV kweli ni aibu kubwa sana tangu aondoke Tido Mhando< Mkurugenzi mpya Daniel Mshana amekuwa ni muoga kupita kiasi wakati yeye mwenyewe yuko Igunga!!!
  12. M

    JamiiForums Tanzania GE2010 Uwongo wa January Makamba huko Igunga

    January makamba pamoja na kubebwa rakini habebeki hana mvuto, hana uwezo wa kurimudu jukwaa na pombe nyingi kule morogoro enzi zake zimeharibu sura yake anaonekana ka zezeta sasa
  13. M

    JamiiForums Tanzania GE2010 Halima Mdee, unahitajika Igunga

    halima jembe nami namkubali sana huyu dada ila media hazitoi coverage ya kutosha kwa huyu dada
  14. M

    JamiiForums Tanzania Vijana 15 wenye nguvu na ushawishi ktk CHADEMA

    vijana ninaowakubali ni kama: 1. John Mnyika huyu yuko serious kupita maelezo kila hatua yuko serious kuanzia bungeni mpaka jimboni sina shaka nae kabisaaa 2. Zitto Kabwe..anajieleza kwa wasifu wake hakuna haja ya kufafanua..ni mfano wa kuigwa 3. Halima Mdee mwanamke wa kwanza kijana kuchukua...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Tatizo la Mukama kaanza siasa uzeeni

    ccm wameingia mkenge mwingine tena...hizi ni dizzaini za makamba..yaleyaleeee
Back
Top Bottom