Vijana 15 wenye nguvu na ushawishi ktk CHADEMA

HALIMA MDEE ana sifa ya pekee
1.ni mwanamke wa kwanza kushinda jimbo la uchaguzi kupitia upinzani kwa Tanzania Bara.
2.Ni mbunge wa kwanza wa kike kumshinda mwenyekiti wa chama kwa kula nyini.
 
Kifupi labda ufafanue wana nguvu zipi huko Chadema.

Mimi nanavyojua wenyenguvu kipesa katika chadema na ndio wamiliki wakuu ni
Mzee Edwin Mtei
Mzee Bob Makani
Mzee Ndesamburo
Freeman Mbowe.
Mwaga data kama una uhakika na unachokiongea.
 
Hakuna mwenye nguvu hapo wenye chama ni Mbowe na Dr Slaa.

Wote waliobakia ni mateka wa Mbowe na Dr Slaa
 
kuna mtu anaitwa  kashinje  masanja , yeye ndiye anaamini ndiye mrithi wa shelembi shinyanga mjini hakuna kam yeye, ni kijana msomi mwenye degree ya geology kutoka chuo kikuu cha DAR na kozi mbalimbali za uongozi ndani na nje ya nchi, ni kijana mwenye ushawishi ndani ya siasa za shinyanga mjini  hivyo msimsahau, pia yuko nyakarungu, mwampamba na Rutaragula wote ni focused persons
 
HAMJUI DEFINITION YA KIJANA. Au mlitafsiri upya kama bungeni? Umoja wa Vichaa CCM

100% Mkuu,yaani mbavu hapa hoi kwa kicheko!Kama mtu unaweza wadanganya umri wako mpaka unakuwa mwenyekiti kuna nini zaidi ya kuwa vichaa tu sasa,lakini wao wanamiliki usalama,uhamiaji,vizazi na vifo!Vijana walikuwa Kina Nyerere na Harakati za Uhuru Tu,wengine wote Bangi Tu!
 
Kifupi labda ufafanue wana nguvu zipi huko Chadema.

Mimi nanavyojua wenyenguvu kipesa katika chadema na ndio wamiliki wakuu ni
Mzee Edwin Mtei
Mzee Bob Makani
Mzee Ndesamburo
Freeman Mbowe.
Mbona tunakuwa wagumu kuelewa??mada ya mtoa mada inalenga vijana 15 wenye nguvu na ushawishi, mtu anabisha na kuorodhesha wazee, ni wapi hasa hatuelewi hii mada??mbona ipo straight forward tu??kubwa hapa bisha kwa hoja kuwa sio vijana hao then weka list ya VIJANA unaowajua wewe wana nguvu na ushawishi. Wazee katika hii mada mnatokanao wapi????? Kama wataka kuorodhesha wazee, anzisha topic yako, sio uanzishe topic juu ya topic.
 
hii mada yako uliiandika mwaka gani mkuu maana unaposema john heche aligombea uenyekiti wa vijana chadema ila
akaangushwa na kafulila nakuwa sikuelewi!! Maana john heche sasa ndo mwenyekiti wa vijana na huyo kafulila ni mbunge wa nccr huko kigoma,
sasa hapa unataka kutwambia kafulila ndiye mwenyekiti wa vijana chadema??? Au siasa hata uielewi inaelekea wapi? Sasa kama ndiyo hivyo sasa tuambie john heche ana wadhifa gani ndani ya chadema sasa.
Tunaomba uwe makini na topic zako, jf hatudanganyiki hivyo, be sirious???
Yah hata mimi nlipata shida sana kuelewa lakin nadhani huyu bwana aliamua kutuma hiyo list yake kwa njia ya barua/posta ndo mana list yake imechelewa kufika na kuwaposted jamvini. Ni jambo la kawaida tu kwa miundombinu ya hapa nyumbani.
 
Hakuna mwenye nguvu hapo wenye chama ni Mbowe na Dr Slaa.

Wote waliobakia ni mateka wa Mbowe na Dr Slaa
Kiongozi umeelewa swali??mada haijasema utaje nani mwenye chama. Mbona mnarukiaga hoja kwa jazba bila kuzielewa??? Sio lazma kila hoja humu uijibu wewe, kwenye huu mtandao wapo watu wengi tu wenye majibu fasaha ya hoja zitolewazo. usijipe jukumu la kujibu kila hoja hata kama huna mchango wa maana katika hoja husika. Hamjisikiagi vibaya kuchanwa kila mara???
 
vijana ninaowakubali ni kama:
1. John Mnyika huyu yuko serious kupita maelezo kila hatua yuko serious kuanzia bungeni mpaka jimboni sina shaka nae kabisaaa
2. Zitto Kabwe..anajieleza kwa wasifu wake hakuna haja ya kufafanua..ni mfano wa kuigwa
3. Halima Mdee mwanamke wa kwanza kijana kuchukua jimbo upinzani..ana uwezo mkubwa wa kujenga hoja
4. Heche..pamoja na kwamba hajaanza kujulikana lakini ana uwezo mkubwa sana kiushawiki na kiutendaji
5. Lema..huyu sina hata la kusema anahaiba ya kipekee jimboni kwake na huu ni mtaji mkubwa kwa mwanasiasa yoyote
6.Regia..ana mahusiano mema mtu wa watu..alinifurahisha alipokosea siku flani bungeni na akaomba radhi..ni mfano mzuri
7.Wenje..hahha huyu ni moto wa kuotea mbali..mwanza anajukana kama rais wa wamachinga..wanampenda si kitoto..
8.Lema..huyu jamaa ana uwezo mkubwa sana wa kujieleza sema bahati yaikuwa yake 2010 lakini atafika mbali sana kisiaa..
9.Nyerere mtaji wake mkubwa ni baba wa taifa lakini pia ana uwezo mkubwa sana..mako analaumiwa mpaka leo kumpigia kampeni
10. Henry Kilewo huyo dogo ni mkali sana na 2010 moto wake ni hatari
11.Binti Ndesamburo anajitahidi ila inabidi akaze buti..
12. Muhonga anajitahidi
13. Grace K naye anajitahidi ni mtiifu nampenda
14. Waitara huyu walimchakachua nakumbuka alikuwa katibu wa uvccm wilaya ya kinondoni..kijana matata sana
 
Na wewe hizo ndio umeona ni sifa? Hizo sifa zao zitafaidisha nini hii nchi, sifa zote ni za kihuni huni. Jamani CDM kama mnataka mpate hata heshima kidogo basi tafuteni watu wenye msimamo na wawakilishi wa kweli sio hili genge la wapuuzi.
 
Hujamtendea haki huyu

sugu+mjengoni.JPG

kweli kabisa. niungane na mdau kwamba 90% ya cdm wanakubalika. huwezi kuwamaliza wote ndugu
 
Nipo pamoja na mtoa hoja kabwe anakubaika hata sisi tusio na vyama vya siasa tuna m solute. Sio kweli kuwa SUGU hajatendewa haki kwani SUGU ana uwezo ktk HIP HOP na sio Siasa ushindi wake Mbeya mjini ulitokana na Makundi hatu ndani ya CCM na Isitoshe SUGU kiumri ni mkubwa huyo.
 
Back
Top Bottom