Vipi maandamano ya Nzega? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vipi maandamano ya Nzega?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by measkron, Jun 17, 2012.

 1. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #1
  Jun 17, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  Naomba kujua Yale maandamano ya amani yafanyike jana huko Nzega yaliyoandaliwa na mbunge Hamisi Kigwangalla, je yalifanyika?
   
 2. J

  JACADUOGO2. JF-Expert Member

  #2
  Jun 17, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 930
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Yalidoda!
   
 3. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #3
  Jun 17, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Kwasababu kakosa uwaziri wa afya!wakiandamana cdm huyo huwa anabeza wakiandamana wao maandamno ya amani!magamba wameishiwa sasa hawana jipya.
   
 4. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #4
  Jun 17, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  unamsikiliza kingwangala anaonekana kuwa mmoja wawalopokaji ndani ya ccm
   
 5. s

  swrc JF-Expert Member

  #5
  Jun 17, 2012
  Joined: Jun 17, 2012
  Messages: 442
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  huyu mheshimiwa sijui tumueleweje. anadhani wapiga kura wake bado ni mbumbumbu. Kwa hivi jimbo tayari liko ndani ya gwanda.:llama:
   
 6. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #6
  Jun 17, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Kigwagallah yupo busy anasukuma kilaji huko Dom aje ahangaike na maandamano
   
 7. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #7
  Jun 17, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  via RFA nilikisikia kuwa polisi wamwambia HK aandamane na watu wake 1/2km tu hadi uwajani naye alilishukuru jeshi la polisi kwa hilo
   
 8. HKigwangalla

  HKigwangalla Verified User

  #8
  Jun 18, 2012
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 717
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Maandamano yalifanyika na yalifana sana! Anayeponda aponde, lakini ajue hayamhusu na wala hayakuandaliwa kwa ajili yake!
   
 9. HKigwangalla

  HKigwangalla Verified User

  #9
  Jun 18, 2012
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 717
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Hongera kwa kuwa Gold member. Umeupataje huo u-Gold, mbona unaonekana u-copper?! walau wangekupa Bronze ningewaelewa! hahahaaa

  On a serious note now, Huwa sinywi pombe ama 'kilaji' kama unavyopenda kukiita
   
 10. HKigwangalla

  HKigwangalla Verified User

  #10
  Jun 18, 2012
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 717
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Yalifanyika na yalitisha sana! Kazi ilikuwa nzuri, wananchi walijitokeza kwa wingi na mkutano ulikuwa mkubwa japokuwa polisi walikuwa wengi sana, hali iliyotishia baadhi ya watu kujitokeza, soma kwenye youtube utaona kuna video imepostiwa kule pia kwenye Facebook page yangu utaona link ya picha na videos, usiwasikilize wapinga kila kitu cha wabunge wa CCM. Watu hupenda sisi tuwaunge mkono wabunge wa upinzani ila sisi tupingwe kila kitu....double standards!
   
 11. K

  Kimbito nyama Senior Member

  #11
  Jun 18, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tunaomba u-quantify yalivyofana Mheshimiwa kwa kuainisha malengo na mafanikio, pia unaweze ku-grade.Thanks, mpiga kura wako aliyeko DSM.
   
 12. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #12
  Jun 18, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
  Hakuna picha zozote zinazoonesha maandamano hayo zaidi ya hii!! HK tuelekeze wapi tutapata??
   
 13. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #13
  Jun 18, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Mheshimiwa, nadhani wanaokupinga na kukwamisha jitihada zako za kuwatetea wapiga kura wako siyo wapinzani bali wabunge wa ccm na uongozi wa chama chako chenyewe.
   
 14. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #14
  Jun 18, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. HKigwangalla

  HKigwangalla Verified User

  #15
  Jun 18, 2012
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 717
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  nadhani watakuleteeni picha nyingine muda si mrefu...blog yangu imevamiwa na hivyo inarekebishwa kwa sasa, kule ziliwekwa picha nyingi kidogo zaidi ya hii moja tu iliyowekwa youtube
   
 16. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #16
  Jun 18, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 548
  Trophy Points: 280
  Toba. Kiongozi huyo!!!
   
 17. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #17
  Jun 18, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 548
  Trophy Points: 280
  Tunawapinga sababu mbunge wa ccm kuitisha maandamano dhidi ya serikali inayoundwa na chama chake does not make sense at all. Labda kama mlikuwa mnaandamana kuunga mkono kauli za nape kwamba wanaokimbia ccm ni oil chafu.

  Pia, unaposema yalitisha unamanisha nini?
   
 18. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #18
  Jun 18, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Mh dr kigwagallah bado hujajibu hoja wewe unategemea matokeo ya maandamano yako itakuwa nini?
   
 19. HKigwangalla

  HKigwangalla Verified User

  #19
  Jun 19, 2012
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 717
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  I initially thought kwamba yangedoda, kwa sababu ya short notice kwa kuzuiliwa na police na pia siku yenyewe kulikuwa na polisi (FFU) wengi sana unnecessarily, lakini on a contrary yalifana sana...watu walijitokeza kwa wingi kuliko maelezo, binafsi sikutegemea kwa kweli!
   
 20. m

  malimamalima Member

  #20
  Jun 19, 2012
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  safi sana Hamisi Kigwangalla
   
Loading...