Recent content by Malilambwiga

  1. Malilambwiga

    Uzi Maalum wa maswali na masuala mbalimbali yahusuyo Kodi, ushuru na masuala mengine yanayowahusu TRA

    Kituo cha mafuta kilichoko Buguruni Mslapa ni cha Lake Oili na si Oilcom, rekebisha hilo. Kituo cha Oilcom kiko Buguruni/Mandela kwenye mataa
  2. Malilambwiga

    Mama mwenye Radio E FM amekuwa mtangazaji baada ya Maulid Kitenge kuondoka

    Siku zote biashara ukitaka ife, basi weka undugu. Katika biashara ukitaka iendelee kusimama, wrka watu baki ambao wataogopa kufanya hujuma yoyote kwa ajili ya kulinda kazi yao. Naitabiria Efm kifo baada ya muda fulani. Hii ni kwa sababu, atakachotaka Elizabeth kipite hata kama ni cha kijinga...
  3. Malilambwiga

    Kampuni ya mabasi ya Shabiby ni wahuni

    Mimi kwanza kabisa nikudharau wewe pamoja na abiria wenzako mliokubali kufaulishwa kama mzigo kwenye bus lingine. Hii taarifa unayoitoa hapa ni kama unatwanga maji kwenye kinu, bali ulitakuwa utowe SUMATRA au POLISI, ili bus hilo luchukuliwe hatua. Na kizuri ni kwamba, siku hizi namba ziko...
  4. Malilambwiga

    Unaweza kufa kwa Mshtuko ukisikia jambo Hili Karne hii

    Acha upumbavu wewe mtoa post. Hii si mara ya kwanza Yanga kugomea nembo ya Vodacom. Ksma hufuatilii habari za soka, kaa kimya.
  5. Malilambwiga

    Hivi Kuna TV stations za Bongo zinazozifikia za Kenya?

    Usiwe mjinga kama mtu asiyekwenda shule. Kinachoshindanishwa kwenye ubora wa vituo vya luninga si ubora wa majengo au samani za ndani bali ni ubora wa maudhui ya vipindi vinavyorushwa katika kuhabarisha, kuelimisha na kuburudisha jamii.
  6. Malilambwiga

    Dkt. Mollel: CHADEMA walipanga njama za kumpiga risasi Lissu

    Mtoa mada, subiri Tundu Lissu arudi pamoja na dereva wake ili watowe ushirikiano kwa vyombo vya dola, kisha ndipo utajua kwamba, mpango wa kushambuliwa Tundu Lissu ulipangwa ndani ya chadema au hapana. Aidha katika ushirikiano huo pia utajua kwa nini Tundu Lissu alipigwa risasi mguu wa kulia...
  7. Malilambwiga

    IGP Sirro, Loss Report kituo cha Polisi inatolewa mwisho saa ngapi?

    Kwa utaratibu wa polisi hawajawa na mpango wa kuweka mhasibu wa zamu kukidhi hilo takwa la saa 24, hadi hapo takwa hilo litakapozingatiwa, kwa sasa tuendelee kutumia na kufuata utaratibu uliopo.
  8. Malilambwiga

    IGP Sirro, Loss Report kituo cha Polisi inatolewa mwisho saa ngapi?

    Mimi nikujibu bila hata Sirro kukujibu. Mwisho ni saa 6 mchana kwa sababu maduhuli yanayokusanywa yanatakiwa kuwasilishwa benki kila siku muda huo
  9. Malilambwiga

    Nimekunywa maji ya Kampuni ya Afya, nadhani sio halisi wahusika fuatilieni

    Hilo ni kweli, hata mimi nimekunywa jana ya lita moja, ladha yake niliona tofauti na siku zote. Ni kama maji ya tope hivi. Nilinunua hayo maji chang'ombe karibu na kituo cha bus cha usalama. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Malilambwiga

    Swali Tatanishi; Polisi wa Dhahabu Mbona Hawakushtakiwa Kijeshi na Kufukuzwa Kwanza?

    Mtoa mada usiandike habari za kuokoteza. Wewe umejuwaje kwamba hawashitskiwa kiheshi? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Malilambwiga

    Tundu Lissu: Mwaka 2019 ni wa kurudisha Demokrasia, Haki na Utu wetu Tanzania (Sehemu ya Kwanza)

    Inzi huwa hafii jalalani bali hufia kwenye kidonda Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Malilambwiga

    Nina mashaka Rais wa DRC Joseph Kabila ni Mtanzania mwenzetu

    Usichojua wewe ni kwamba Joseph Kabila aliishi na kusoma Tanzania pale Mtongani Kunduchi, na baadaye alijiunga na Jeshi la kujenga taifa kambi ya Makutupora Dodoma akiwa na mgombea urais wa sasa kupitia chama chake Ramadhan Shadali. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Malilambwiga

    Wito wa Hiari: Abdul Nondo achangiwe kwenda kumalizia masomo yake nje ya Tanzania

    Usihubiri ujinga hapa. Kuna watu wenye matatizo ya kikweli wanaotakiwa kuchangiwa wakiwemo wagonjwa na wasiojiweza, na si kutoa wito wa kumchangia mpumbavu aliyekubali kutumika kama tambara la deki ili waliomtumia wapate umaarufu na baada ya kutumika ametelekezwa hana thamani tena. Tukio hili...
  14. Malilambwiga

    Siasa na harakati za Fatma Karume zinavyoiathiri Tanganyika Law Society

    Usikatae, ni kweli TLS si chama cha wanasheria tena bali mashoga wakiongozwa na Fatma Karume na ndiyo maana Rais wao anapounga mkono ushoga hakuna aliyeinua mdomo kukanusha Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Malilambwiga

    Watanzania wana uelewa mdogo kuhusu Pension Fund, 25% ni maamuzi sahihi

    Maelezo mengi hayasaidii. Ksa kuwz fedha zinazohifadhiwa kwenye mifuko hii ni za wanachama zilizokatwa kutoka kwenye mishahara yao, mtumishi akistasfu apewe fedha zake zote na serikali isijibebeshe jukumu la kulea wazee wastaafu kupitia mafao yao. Kingine ni kwamba, serikali imekuwa ikizitumia...
Back
Top Bottom