GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,652
- 14,247
Makamu Mwenyekiti wa Yanga David Mwakalebela ni mmoja ya watu waliotoa matamko ya hovyo kabisa week hii.
Anasema Yanga ina Rangi tatu. Njano,Kijani na Nyeusi hivyo wapo tayari kutopata pesa za mdhamini sababu mdhamini anataka Logo yake itumike ambayo ina rangi nyekundu.
Hii si akili ya kawaida.waliomtuma kusema na yeye aliyesema nadhani watakuwa na shida kubwa sana. Mbona hawasemi kuwa binadamu wana damu nyekundu hivyo wasichezee yanga?
Mbona hawagomi kutumia tsh 10,000 ambayo inaitwa mwekundu sababu ina wekundu?mzee akilimali aliwahi sema ana sofa nyekundu.
Inawezekana kabisa ukawa na akili timamu,hujarogwa,hujalewa bhangi,hujabemendwa kiakili ukakataa udhamini wa mamilioni sababu ya logo ndogo tu kuwa na rangi nyekundu? Yaani katika mambo yote ya kuonesha msimamo hili ndo kuu?
Yanga ni kweli logo ya voda nyekundu itawaathiri sana kuliko kupata pesa za kulipa wachezaji,viongozi na matumizi mengine?
Unaposikia hoja kama hii kwa mara ya kwanza unaweza shtuka na kufa. Sababu hutegemei kusikia mtu msomi anaongea jambo kama hili.
Yanga acheni ujinga. Chukueni pesa mlipe wachezaji wenu maisha yao yaboreke. Akili za kipuuzi zipingwe.