Recent content by Malika7

  1. Malika7

    Ray C amwandika Ruge: Nibusu shavuni, vyovyote vile, nakupenda

    tunnmlknbbnnnnn?nm@[emoji35][emoji54][emoji22][emoji63][emoji59][emoji473][emoji473]:-P :O
  2. Malika7

    Masahihisho kuhusu Uganga na Uchawi

    Haya Mambo yapo kabisa na yanatesa sana watu au jamiii,na kama hajakupata au kukusumbuwa au hujawai kwenda kwa mganga basi shukuru mungu tu, Ila kamwe na kato abadani usije ukamkebehi mtu anayekwenda kwa mganga au anayesumbuliwa na mambo hayo ,la umuhimu kumuombea mungu tu ,maana hujui kesho...
  3. Malika7

    Toyota Passo inafaa?

    ufahamu wangu kiasi sio sana ,kwenye noah wanasema old ni nzuri maana ni ngumu na zinahimili nikiki tofauti na haya matoleo mengine
  4. Malika7

    Haya Wadada, Wanawake na akina Mama wa Kitanzania mnajifunza nini kutoka kwa hii Kauli ya Mwanasiasa ' machachari ' Julius Malema wa Afrika Kusini?

    hii ni kwa ' Me tu ? au Ke" Maana hata sisi izo Uba tunazitaka kupinguza millege wakati nyie tumewaacha nyumbani
  5. Malika7

    Nimejifunza daima duniani tunapita, lazima tuishi kwa wema na upendo na watu wa rika zote bila kujali utofauti wetu kidini, kiimani, kielimu au umri

    imenisikitisha hata mm,kama hujakumbana na mitihaani huwezi elewa nzuri na m'baya wakeo,wengi wanaonyesha kuwa nasi leo ni kwasababu eidha sisi ni wazima na kuna manufaa fulani wanayapata kutoka kwetu ,
  6. Malika7

    Toyota Passo inafaa?

    sawa agiza vits old ,sio hizi new model
  7. Malika7

    Toyota Passo inafaa?

    Vits ni bora zaidi kuliko Passo, ila vits old maana zenyewe ni ngumu zinahimili sana mikimikimi hata kama ukaa kule madongo kuinama, tofauti na passo zimekaa mayai sana ,hazitaki shurba ,ila vits chini ni ngumu sana , kama unaweza chukuwa vits old ,unapata nzuri mkononi mpaka unaienjoy ,na...
  8. Malika7

    Toyota Passo inafaa?

    yes tofauti ipo piston 3 unaeza ipata nafuu maana wengi wanavikimbia sana unaeza kuta namba d inauzwa hata nne , Ila piston 4 imechangamka kidogo na Huwa wanakomaa bei nadra kuikuta chini labda mtu auze ana matatizo tu ,
  9. Malika7

    Toyota Passo inafaa?

    passo kama waitaka tafuta ya piston 4 sio 3 itakusumbuwa na havina nguvu ,Ila ukipata 4,popote unaenda na haina shida yeyote, Shida wengi waliokuja kuchukuwa passo waliingia mkenge kwa kuchukuwa zenye piston3 na ndomana wakatokea kuzichukia maana zinakuwa na engine ndogo hazina power huwa...
  10. Malika7

    NI WAKATI GANI WAWEZA KUJIITA "NEW"

    Mkuu nachoelewa mm biashara ni wito kama ulivyo uwalimu , Nikiwa na maana moja uwe na kichwa na kipawa cha biashara si kila mtu anaweza kufanya biashara na ikastawi na kumea , Biashara inataka ubunifu kujituma na kujitolea ili baadae uvune natunda ya biashara husika kinyume chake utateketeza...
  11. Malika7

    Anadai ana virusi ila hawezi ambukiza mtu

    sawa nimekuelewa kiongozi
  12. Malika7

    Anadai ana virusi ila hawezi ambukiza mtu

    Nashukuru kwa maelezo yako yakina mkuu ni dawa gani hiyo ni kinga kwa maambukizi
  13. Malika7

    Anadai ana virusi ila hawezi ambukiza mtu

    Sawa mkuu ukipata jibu unipitishie na mimi
Back
Top Bottom