Recent content by maliganyamalimbe

  1. M

    Mhe.Rais Samia,Je,unafahamu/unajua unavyo hujumiwa Katika Manispaa ya ILEMELA?

    Kwanza kabisa Nianze kwa kukupongeza kwa namna unavyotekelaza majuku yako kwa namna ya kipekee kiasi kwamba nchi imetulia. Kama ilivyo kwaida ya Binadamu, wapo wanaobeza utendaji wako, wapi wanaofurahia,wapo wanaotoa ushauri, wapo wanaokosoa na wapo wapambe ambao kazi yao ni kukusifu mchana lkn...
  2. M

    The.Rais Samia,Je,unafahamu/unajua unavy hujumiwa Katika Manispaa ya ILEMELA?

    Kwanza kabisa Nianze kwa kukupongeza kwa namna unavyotekelaza majuku yako kwa namna ya kipekee kiasi kwamba nchi imetulia. Kama ilivyo kwaida ya Binadamu, wapo wanaobeza utendaji wako, wapi wanaofurahia,wapo wanaotoa ushauri, wapo wanaokosoa na wapo wapambe ambao kazi yao ni kukusifu mchana lkn...
  3. M

    Sura mbili za Lissu, kabla na baada ya kulamba asali

    Kwani kinana na nape wa 2014 na wale wa 2018 wanafanana?.....SSH je?
  4. M

    Askofu Renatus Nkwande asikitishwa na uongo wa Polisi kuhusu wana CHADEMA waliokamatwa ndani ya Kanisa

    Hivi wangekuwa masjid wanamuombea Dua SSH wangekamatwa?????
  5. M

    Mawakili 386 wajitokeza kumtetea Mbowe Mahakamani 05/08/2021

    Hivi ile hotel iliyo karibu na lenana hotel mwanza ni ya mbowe au sirro?......
  6. M

    Mwanza: Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mbowe na wenzake wanyakuliwa na Polisi usiku wa manane, haijulikani wako kituo gani

    Ifahamike kuwa Mh Samia RJMT alisema mikutano ya ndani siyo marufuku...So kwa Imani take ya kidini alikuwa anadanganya?
  7. M

    Tetesi: Makinikia yameanza kusafirishwa tena?

    Hivi unajua kuwa mkataba wa Twiga gold ulisainiwa wakati wa magu?.....moja ya kipengele kwenye mkataba huo uliruhusu kusafirishwa kwa makinikia?......Mwacheni Mama afanye kazi
  8. M

    Napendekeza iundwe Tume Huru ya kuchunguza kifo cha Hayati Magufuli

    Hivi wakiunda time ya kuchunguza kifo cha mkapa kabla kuna makosa?....Ni vyema wakaunda tume huru ya kuchunguza kifa cha mkapa then waliompiga lissu risasi then ifuate ya Jpm
  9. M

    Bashiru Ally ndiye Rais wa Tanzania wa awamu ya sita

    Rais wa sita ni Samiah suluhu hassan.....kwa sita zipi za Dr bashiru awe rais?....Hana sofa mkuu
  10. M

    Tundu Lissu: Ni wakati wa kufungua ukurasa mpya kama Taifa

    Hivi Mh Job Ndugai yupo wapi na anafanya nini?
  11. M

    Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?

    Andrew John Changea I January yusuph Rajab Makamba
  12. M

    Kwanini Serikali isimkamate Maria Sarungi na kundi lake?

    Kama ungelikuwa mzalendo wa Taifa hilo ungejua kashfa za meremeta, Tangold na Deep green wahusika ni nani?..... Unajua kuwa Keby hotel ilikuwa mali NHC na sasa ni mali ya nani?.
  13. M

    Kwanini Serikali isimkamate Maria Sarungi na kundi lake?

    Naomba nikuulize kwa ndani huu: Hivi mtoto au kijana akimuuliza Baba take kuwa ulikuwa wapi mpaka asubuhi ndo unarudi ni fedha za mabeberu au za chato ndo zinamsukuma aulize?
Back
Top Bottom