KWANINI NI NGUMU KUISHINDA CCM YA KANALI KINANA?
George Michael Uledi.
Kyela,Mbeya.
September 7,2022.
Mchoraji Mkuu wa siasa za ushindi wa CCM kwa sasa kuelekea uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 sio mwingine bali ni Kanali Mstaafu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania,Afande Abdulaman Kinana!Sijui ni...
MWENYEKITI WA CCM NDUGU SAMIA SULUHU HASSAN AKUMBUKA MCHANGO WA MZEE WAIKELA KATIKA HARAKATI ZA KUDAI UHURU
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka ameungana na mamia ya waombolezaji katika mazishi ya aliyekuwa mmoja miongoni mwa waliokuwa mstari wa mbele...
Katibu wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka ameipongeza timu Yanga kwa kutwaa ubingwa wa soka wa Tanzania msimu huu.
Ameyasema hayo leo usiku katika uwanja wa Benjamini Mkapa Jijini Dar Es Saalam mara baada ya mchezo ligi Kuu (NBC) ambapo ameyataja mafanikio hayo...
SHAKA AVIOMBA VYOMBO KUMMULIKA MFANYABIASHARA ANAYEUZA PEMBEJEO FEKI
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, ameviomba vyombo vya ulinzi na usalama mkoani Mtwara kutomfumbia macho na mfanyabiashara wa pembejeo anayetumia vibaya jina la Waziri Mkuu...
WANAWAKE MTWARA WAMPA TUZO MAALUMU RAIS SAMIA.
Wanawake mkoani Mtwara wamemkabidhi tuzo maalumu Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutambua mchango wa kuwatumikia Watanzania katika kuwaletea maendeleo hususan mkoani humo.
Akizungumza baada ya kupokea tuzo hiyo, Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa...
SHAKA ASEMA RAIS SAMIA ATAIJENGA BARABARA YA UCHUMI KWA KIWANGO CHA LAMI NA ATAMALIZA TATIZO LA MAJI TANDAHIMBA
KATIBU WA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA ITIKADI NA UENEZI SHAKA HAMDU SHAKA AMEWAHAKIKISHIA WANANCHI WA WILAYA YA TANDAHIMBA SERIKALI YA CCM AWAMU YA SITA CHINI YA RAIS SAMIA SULUHU...
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka ameiagiza Serikali ya Mkoa wa Mtwara kuacha urasimu kwa kuchelewesha ugawaji wa pembejeo kwa wakulima wa korosho mkoa humo.
Shaka ametoa maagizo hayo baada ya kuwasili Mkoa wa Mtwara kwa ziara ya kikazi...
CCM YAMPONGEZA RAIS SAMIA KWA KUTWAA TUZO YA BABACAR NDIAYE KUTOKA BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA (AFDB)
Shaka asema hatua hiyo inatafsri kazi nzuri inayofanywa na serikali ya awamu ya sita Katia kuwahudumia wananchi
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimempongeza Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kutwaa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ameshinda Tuzo ya Babacar Ndiaye kwa mwaka 2022 (Babacar Ndiaye Trophy 2022) kutokana na mafanikio kwenye Ujenzi wa Barabara, mara baada ya kukabidhiwa Tuzo hiyo na Makamu wa Rais wa Sekta Binafsi, Miundombinu na Viwanda...
SHAKA ATAKA WANANCHI WAPEWE NAFASI KUSHUHUDIA UTEKELEZAJI WA MIRADI.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amewataka viongozi mbalimbali wanaofanya ziara hususan katika miradi ya maendeleo kuwapa fursa wananchi kuona kinachofanywa na serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.