Shaka asema Rais Samia ataijenga barabara ya uchumi kwa kiwango cha lami na atamaliza tatizo la maji Tandahimba

Malick Ayoub

Member
May 25, 2022
10
4
SHAKA ASEMA RAIS SAMIA ATAIJENGA BARABARA YA UCHUMI KWA KIWANGO CHA LAMI NA ATAMALIZA TATIZO LA MAJI TANDAHIMBA

KATIBU WA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA ITIKADI NA UENEZI SHAKA HAMDU SHAKA AMEWAHAKIKISHIA WANANCHI WA WILAYA YA TANDAHIMBA SERIKALI YA CCM AWAMU YA SITA CHINI YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ITAIJENGA BARABARA YA MTWARA-TANDAHIMBA-NEWALA MAARUFU BARABARA YA UCHUMI KWA KIWANGO CHA LAMI NA ITAMALIZA TATIZO LA MAJI KWA KUKAMILISHA MRADI WA MAJI WA MITEMA-MKWITI PAMOJA NA KUJENGA MRADI KUTOKA MTO RUVUMA HIVYO WAENDELEE KUKIUNGA MKONO CHAMA CHA MAPINDUZI NA SERIKALI YAKE.

SHAKA ANAENDELEA NA ZIARA YA UIMARISHAJI CHAMA NA UKAGUZI WA UTEKELEZAJI WA ILANI MKOANI MTWARA ALIYOIANZA TAREHE 2 JUNI, 2022.

#CCMImara
#KaziIendelee
IMG-20220604-WA0074.jpg
IMG-20220604-WA0068.jpg
IMG-20220604-WA0071.jpg
IMG-20220604-WA0075.jpg
 
Hata sasa ninatafakari nitakavyomchagua mama Samia kwenye uchaguzi mkuu pasipo kukichagua hicho chama.



Yesu ni Bwana
 
Mimi hadi leo nashangaa eti ile barabara mtwara-nanguruwe-nanyamba-tandahimba-newala ni vumbi...!!!!??!???!
 
Back
Top Bottom