Recent content by malewa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Msaada Kutatua tatizo la steering wheel kutoa kelele kila unapopiga kona ama kuuzungusha

    Nimefubga steering power mpya, steeling rack mpya na fan belt mpya lakini bado gari inapiga kelele hasa ninapopiga kona, na kila ninaposikia hizo kelele nikicheki steering power oil inakuwa imeshuka Kidogo lakini mafundi hawajaona popote inapovuja. Msaada tafadhali.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mafuta ya kupikia ya kasuku

    Wakuu Nashukuru sana kwa maelezo yenu. Msemachochote nitacheki nawe punde in pm.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mafuta ya kupikia ya kasuku

    Natafuta mafuta ya kupikia ya kasuku, nipo DSM, je naweza kuyapata wapi?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Raum 2000 for sale

    Toyota Raum 2000 inauzwa. Silver; cc 1490; petrol; 100,000 km; haidaiwi kodi; bei 6m. Mazungumzo yanaruhusiwa.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kioo cha sony xperia Z1 screen touch

    Wakuu simu imedondoka na kioo kimepasuka, inawaka kama kawaida lakini siwezi screen yake haipo active hivyo siwezi kufanya chochote iwe ni kupiga simu, kupokea, kusoma WhatsApp etc. Mwenye nacho tafadhali tuwasiliane.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Viwanja vinauzwa (surveyed plots)

    Viwanja vinauzwa (surveyed plots), vipo Km 20 kutoka Kigamboni, na Km 2 toka barabara ya lami; Mtaa wa Malimbika karibu na ECO VILLAGE DEGE; umeme upo karibu (800 meters); maji unachimba kisima kifupi tu na ni mazuri. Vipo vya ukubwa mbalimbali kuanzia square meter 900 - 2900. Bei ni 20,000 kwa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha kusindika muhogo Bungu kimeanza uzalishaji?

    Wadau tunakaribia msimu wa mavuno ya zao la muhogo kwa wingi hasa kutoka mikoa ya kusini mwa Tanzania na baadhi tayari wameanza kuvuna. Soko la zao hili limekuwa halina uhakika sana kutokana na kutokuwa na viwanda vya kusindika muhogo hapa nchini hivyo kilimo cha zao hili kutowanufaisha sana...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri namna ya kupata tractor lenye uwezo wa kung'oa miti/visiki na kulima

    Wakuu nashukuru kwa maelezo mazuri na ya kuelimshana kuhusu suala hili. Nilikuwa sijapitia humu kwa muda kidogo, nimejifunza kupitia angalau kila wiki. Nitafuatilia ushauri kadhaa mlioutoa ili hatimaye niweze kuamua cha kufanya.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri namna ya kupata tractor lenye uwezo wa kung'oa miti/visiki na kulima

    Nina shamba, lengo langu ni kuona kama ningeweza hata kununua used ama kukodisha. Lakini kutokana na maelezo nikiyopata kutoka ndugu Asante, nimeona ni ngumu kuupata mtambo kama huo na pia kukodi si rahisi pia. Nitatumia ushauri wako ndugu Kisima wa kutumia vibarua. Nashukuru sana.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri namna ya kupata tractor lenye uwezo wa kung'oa miti/visiki na kulima

    Ndugu Asante nakushukuru sana kwa kupanua uelewa wangu katika hili.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri namna ya kupata tractor lenye uwezo wa kung'oa miti/visiki na kulima

    Wadau naombeni ushauri ni tractor aina gani yenye uwezo wa kung'oa miti/visiki na kulima pia. Je inapatika hapa nchini?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kero uchukuaji wa Road Licence TRA

    Kwanza niawapongeze TRA kwa kubuni utaratibu mzuri wa kulipia Road Licence ambao kwa kweli umetuondolea usumbufu kwa kurahisisha kazi ya kujiaajili na kulipia kwa kutumia mtandao. Hata hivyo bado kina kero ambayo bado haijatatuliwa wakati wa kuchukua hiyo kadi ya Road Licence ambapo kumekuwa na...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kampuni ya uchimbaji visima

    Vipi kule Kibiti, gharama itakuwa kiasi gani?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ni gari gani itanifaa kwa kuzingatia vigezo vifuatavyo?

    Prado, inachukua watu 8, ila cc 2700.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia unapotaka kuanzisha biashara

    Shule nzuri Mkuu, je unaweza kumalizia sehemu inayofuata kuhusu jinsi ya kupanga bei.
Back
Top Bottom