Recent content by MalcolmX

  1. M

    JamiiForums Tanzania Executive Pay ya Top CEO Tanzania

    Swali la kizushi. Miaka 5 iliyopita kulikuwa na leak kuwa Mwambita Makamba analipwa $20,000 kwa mwezi alipokuwa anafanya kazi Vodacom TZ Sasa najiuliza hivi hawa ma top CEO wa mabenki kama Barclays, Stanchat, Vodacom etc wanalipwa kiasi gani kwa mwezi ontop of marupu rupu mengineyo? Hapa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la Escrow: Kigogo wa Ikulu (Shaaban Gurumo) ahojiwa na Baraza la Maadili

    Jamani video ziko wapi?????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????
  3. M

    JamiiForums Tanzania Issa Michuzi, Assah Mwambene, Clement Mshana, Salva Rweyemamu, Premi Kibanga & Waziri Fenella Mukangara

    Now Ikulu updates Website Dar es Salaam. Finally, the State House got it right and their official website is now displaying the full list of ministers and appropriate matching photos and names. The list of the Cabinet line-up was distorted and missing important details until a few days...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tathmini ya BRN chini ya Omari Issa

    Alikuwa ITV asubuhi ya leo! Mchekini kwa ITV youtube maana huwa wanasema wanapatikana kwa youtube, pia nasikia watu wa BRN watakuwa Mlimani City wakieleza mafanikio yao ambayo huyu jamaa alikuwa anataabika kutuelezea! jamaa anaulizwa maswali ya kawaida kama "tofauti ya mikakati yenu na ya...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ya Moto band ipigwe marufuku, Sasa imevuka mipaka kukiuka maadili

    lakini simema za chuck norris na rambo poa acha hizo
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ngeleja: Zitto aliomba na kupewa milioni 30 kutoka kwa Rugemarila

    video iko wapi?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Jussa akiongea na wana-DMV

    VIDEO YA Q &A inasemekana imefichwa ina siri gani?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ngeleja: Zitto aliomba na kupewa milioni 30 kutoka kwa Rugemarila

    HIVI KWA NINI VIGYUMU KUPATA VIDEO ZA HAYA MAHOJIANO? JAMIIMDEIA IMESHINDWA KUWEKA HIZI VIDEO KWENYE youtube? nachoka mimi kusoma as if niko 1980
  9. M

    JamiiForums Tanzania Maoni ya wananchi kuhusu taasisi za usimamizi kama PAC, LAAC & CAG

    TRANSPARENCY ingeanza na ripoti zote za ukaguzi wa fedha za UMMA ziwekwe WAZI ONLINE kwenye tovuti husika ili kila mwananchi akitaka asome Na ziwe kwa KISWAHILI na sio mauza uza ambayo watu hawayaelewi TRANSPARENCY ianze kwa reports kuwa open to the public Jiulizeni RIPOTI ya CAG ya BOT, TRA...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Vitu gani vinahitajika kuhamisha Title Deed?

    Hivi ni forms zipi zinahitajika wakati wa ku transfer title deed toka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine? Nimetembelea website ya wizara sioni kitu Usajili wa Hati na Nyaraka
  11. M

    JamiiForums Tanzania Guangzhou China

    Jamani ninataka kwenda china katikati ya mwezi ujao huko Guangzhou shughuli zangu ni kwenda kutengeneza sampo za viatu vya michezo kama pea 50 hivi (nataka nije nazo kwa ndege) maswali yangu ni kuwa huu mwaka mpya wa kiichina unaisha lini maana nimeambiwa eti wachina wanakula bata mwezi mzima...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tathmini ya BRN chini ya Omari Issa

    Kwanza ungeanza kutathmini performance ya bosi wake huyo Omari Issa kabla hujarukia wachangiaji wa JF
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

    hii thread ingependeza kama hao wanaotajwa humu mungeweka picha zao
  14. M

    JamiiForums Tanzania Pichaz: Mtoto wa kajala ni tishio kwa uzuri kwa vibinti vistaa vyote hapa bongo

    miguu yake ina matatizo gani?
Back
Top Bottom