Recent content by Malasome

  1. M

    Viti maalumu vya ubunge wanawake

    Naombeni tafadhali mnijuze kanuni ya kupata wabunge viti maalum wanawake kuwakilisha chama.
  2. M

    GE2015 Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) yafuta Matokeo yote ya Uchaguzi Mkuu

    Njia ya mwizi ni fupi. Asante sana kwa taarifa. Uko vizuri mtoa mada.
  3. M

    Kikwete: Lowassa ndiye mhusika wa Richmond

    Katika viongozi ambao ninamfananisha ya jamaa aliyekuwa anakata tawi alilolikalia. KAMA kiongozi wa nchi ulikuwa wapi? mkuu wa nchi umeonesha utumbo na pumba. kwa maana hiyo wakati wote ulikuwa unatuadaa wananchi sio?
  4. M

    Kikwete: Lowassa ndiye mhusika wa Richmond

    Katika viongozi ambao ninamfananisha ya jamaa aliyekuwa anakata tawi alilolikalia. KAMA kiongozi wa nchi ulikuwa wapi? mkuu wa nchi umeonesha utumbo na pumba. kwa maana hiyo wakati wote ulikuwa unatuadaa wananchi sio?
  5. M

    Tafiti za redet na synovate juu ya mgombea gani anakubalika zaidi zimeishia wapi?

    Wana jf embu aliyekaribu na wale watafiti wa UDSM wa REDET ninaowapenda sana kwa tafiti zao wapo wapi jamani? uchaguzi huu muhimu sana na tunahitaji sasa utafiti wenu wataalam wa REDET.
  6. M

    Taarifa kwa makamanda na wadau wote wa mabadiliko chini ya UKAWA

    Dodoma bendera zote za Chadema zimeng'olewa na SIPOLI. Hii ni haki?
  7. M

    Message from Juma Mwapachu

    Kaka ona mbali basi. kaandikia UN,AU,ICC na dunia nzima. usijione upo ndani ya boksi la ccm toka kidogo uone madudu ya ccm.
  8. M

    TANESCO, mgao huu una sababu gani tena?

    Kama mwananchi, ninaomba tupatiwe huduma ya umeme. Tupeni ukweli msitoe ahadi za kisiasa, mgao unaisha lini? Mliahidi tarehe 20, mpaka sasa bado Watanzania tupo gizani. Kwa nchi yenye uwajibikaji inapaswa Waziri wa nishati na mkurugenzi wa TANESCO mjiuzulu.
  9. M

    Hofu kubwa ya CCM kushindwa urais imezidi kutanda mitaani

    Hapa dodoma mabalozi wa mitaa na wanachama wa ccm wanahangaika na vikao kwa kupewa shs 2000 na maji na kuwaambia watu mitaani kwamba UKAWA wataleta vita nchini. kwa kweli wamechanganyikiwa haswa. kuna mmoja wa mabalozi nilimuuliza vipi ccm itashinda alisita kidogo akaniambia huku ngazi ya chini...
  10. M

    Asingekuwepo "Kikwete rais" mimi ningepigia kura CCM

    hujakosea Kikwete ndiye aliyeharibu mchakato wa katiba mpya pale alipohutubia bunge kama mwenyekiti wa CCM bungeni.
  11. M

    Askofu Kilaini: Sifa kuu nne za mgombea ambaye atakuwa Rais wa nchi

    Askofu tafadhari tafadhari Rudisha pesa zetu umeisha anza? poorly!
  12. M

    Jamani tuwe serious na nchi hii.

    Mzee Kingunge alisema chama cha mapinduzi(CCM) kimeishiwa pumzi na hakina uwezo wa kuipeleke nchi hii juu kimaendeleo alikuwa na maana kwamba serikari ya CCM imefika hapo ilipofika BASI. Leo nilikuwa naongea na Mwalimu mmoja mkuu wa Shule ya Msingi Mjini Dodoma na kunieleza kwamba shule ina...
  13. M

    UKAWA: Hesabu za kura hizi hapa - Usisubiri mpaka 25 Oktoba 2015

    Umejaribu kubet lakini umesahau kuna wapiga kura zaidi yb mil 10 na wengi ni wapiga kura wapya ukilinganisha na takwimu za 2010. vilevile kumbuka vijana ndiyo wakao amua yupi raisi 2015.
  14. M

    Huenda TANESCO wakazima kabisa mitambo hivyo tujiandae

    CCM na serikari yake tunawajua na mnachosema sicho ni uongo mtupu> UKWELI WA MGAO WAUMEME TANZANIA NI KWAMBA PESA NYINGI ZA KUNUNULIA MAFUTA ZILIKUWA ZINATOKA KWA WAFADHILI KUTOKA NJE NA WAFADHILI KARIBIA WOTE WAMESITISHA MISAADA KWA TANZANIA KUTOKANA NA KASHFA YA ESCROW. KINACHOFANYIKA SASA KWA...
  15. M

    Tujifunze: Namna ya kupiga Kura yako Oktoba 25, 2015

    Mkabidhi Msimamizi wa kituo kadi yako ya Kupigia Kura, Jina lako litasomwa kwa sauti kubwa ili Mawakala wa Vyama vya Siasa waliopo kituoni wasikie, Wasimamizi wa vituo, na hata Mawakala wa vyama vya siasa wakiwa na shaka wana haki ya kukuuliza maswali ili wajidhihirishe, Msimamizi wa kituo...
Back
Top Bottom