Recent content by Malak

  1. Malak

    JamiiForums Tanzania Napitia katika changamoto kubwa

    Kwanza napenda kukupa pole kwa hili linalokunyima raha. Labda nikukumbushe tu...kuna kisa kimoja cha bibilia cha bibi aliyeitwa Sara...alizaa akiwa na umri wa miaka 90 just imagine...Katika kipindi chote cha ndoa yake kabla ya kupata mtoto alijihisi mpweke kama wewe vile...lakini mwishoni MUNGU...
  2. Malak

    JamiiForums Tanzania Mwalimu akutwa na mwanafunzi chumbani

    Kwa kweli haya sio maadili mema hata kidogo...mwalimu ni sawa na mzazi..amepewa dhamana ya kuwasimamia wanafunzi, kuwakanya na kuwafundisha...lakini cha ajabu...mwalimu huyo huyo anakuwa mtu wa kiwaharibu wanafunzi...uchunguzi ufanyike haraka na hatua kali za kisheria zichukuliwe!!! Sent using...
  3. Malak

    JamiiForums Tanzania Mwalimu akutwa na mwanafunzi chumbani

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Malak

    JamiiForums Tanzania Tumetimiza miaka miwili (2) ya ndoa, tumepata mtoto, Mke wangu tulifahamiana JamiiForums

    Hongera mkuu...Mungu abariki uzao wako...Amen Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Malak

    JamiiForums Tanzania Ili uishi kwa amani hapa duniani fanya yafuatayo.

    Nianze kwa kusema kwamba imani zetu wengi ndio zinatufanya kuwa watu wa wasiwasi na kushindwa kufurahia miaka yetu michache tunayoishi hapa chini ya jua. Unamkuta mtu msomi kabisa humu anaamini kila kitu kinachosemwa na baadhi ya watu ambao wanajifanya wanajua sana mambo ya imani na ulimwengu wa...
  6. Malak

    JamiiForums Tanzania Juma Njemba: Sangoma aliyeishi maisha ya peponi akiwa duniani

    Elimu ya kitabu ndo nn?
  7. Malak

    JamiiForums Tanzania RC iringa(Ali hapi): Kila mtumishi lazima awe na ilani ya ccm,

    I think as long as maendeeo yanafuata mikakati ya chama chao sio shida.
  8. Malak

    JamiiForums Tanzania Marehemu wengi hurejea baadhi ya sehemu walizofia?

    Hii inawezatokea...ila kiuhalisia huyo sio marehemu ila ni malaika waliohasi wanachukua sura ya marehemu ili kuwaaminisha ndugu zake kuwa anaishi somewhere....kwa wakristo hili limewahi kumtokea mfalme Sauli baada ya kwenda kwa mganga( mshirikina) kujaribu kumuita nabii Heri ( kipindi hicho...
  9. Malak

    JamiiForums Tanzania Marehemu wengi hurejea baadhi ya sehemu walizofia?

    Mafundisho ya uongo.
  10. Malak

    JamiiForums Tanzania Walimu wanawadhalilisha watoto

    Nadhani waajiri wao wanapaswa kuwachukulia hatua...for sure huu ni uzalilishaji.
  11. Malak

    JamiiForums Tanzania Wazazi wanaowabusu watoto wao mdomoni, wananiudhi sana!

    Nimewahi kuona picha ya mzazi anamladenda mtoto wake.. Dunia imefika mbali mkuu.
  12. Malak

    JamiiForums Tanzania Wazazi wanaowabusu watoto wao mdomoni, wananiudhi sana!

    Kadili ya siku zinavyozidi kukimbia...akili ya mwanadamu inazidi kuchanganyikiwa....kumbusu mdomo( dendalize) mwanao wa kike ni ishara tu ya kuchanganyikiwa kwa ulimwengu. NB: Hizi ni siku za mwisho. Be careful!!
  13. Malak

    JamiiForums Tanzania Shahidi aelezea walivyoahidiwa kulipwa Sh 17 milioni kila mmoja kumuua bilionea Msuya

    Kweli...ajibu alimuonaje.
  14. Malak

    JamiiForums Tanzania Ku apply nacte kozi za uuguzi government colleges kunaanza lipi?

    Wadau naombeni kunijuza application ya kozi za uuguzi kwa vyuo vya serikali kunaanza lini maana ile round ya mwezi wa nne haikuhusisha vyuo vya government. Natanguliza shukurani.
Back
Top Bottom