kupukupu
JF-Expert Member
- Aug 4, 2016
- 505
- 1,106
sawa mwalimu nimekuelewasi kweli! analysis yako ipo chini sana ya kiwango endelea kufanya utafiti wako upya mkuu
sawa mwalimu nimekuelewasi kweli! analysis yako ipo chini sana ya kiwango endelea kufanya utafiti wako upya mkuu
Udhalilishaji upo kwa wanasiasa tu, wengine sio watu.Walimu au watu kama hao wanatakiwa wachukuliwe hatua kwa kukiuka sheria ya mtandao ikiwa ni pamoja na kukiuka haki za watoto kwa sababu huo ni udharirishaji mkubwa kwa watoto ambao bado wana mengi ya kujifunza.
Kwa nini msiwadhalilishe wake au watoto wenu ndio mkarusha;kuna siku mtayakanyaga mawaya tu mumrushe mtoto wa mwehu mwenzenu awafurahisheHivi walimu wanavyodhalilishwa na wakuu wa wilaya na wa mikoa wewe huoni?? Acha upuuzi wewee
Tunachagua watu walioshindwa kabisa katika vipimo vyetu vya mitihani kuwa walimu.Habari wana jukwaa.
Hivi karibuni kumekuwa na mtindo wa walimu hasa wa shule za msingi kuwarekodi watoto na kisha kuzisambaza video hizo,
Binafsi nimefanikiwa kuona video 3 za walimu hao na zote zinaonesha si tu uelewa mdogo wa mwanafunzi bali pia ujinga wa aliyepewa dhamana ya kuuondoa ujinga wa mwingine.
Mwalimu anamuuliza mtoto kwanini hakuja shule? Mtoto anajabu hakuja kwa sababu alifariki. Kiswahili anachotumia mwalimu huyo na majibu ya mwanafunzi inaonesha kuna tatizo kubwa katika jamii.
Cha kujiuliza ni nini kinapelekea mtu kumrekodi mtu aliyepewa dhamana ya kumvusha toka alipo, halafu anamsambaza mitandaoni. Au ni stress za udogo wa mishahara?
Una kadi ya kijaniHabari wana jukwaa.

mkuu siku na nia hiyo....nimeshaifuta link.Inawezekana sio nia yako, ila kuendelea kuisambaza ni kuendelea kumdhalilisha huyo mtoto.
Uko sahihi brother, salute.Mwalimu kusambaza video za namna hiyo ni moja ya madhara ya kuchukua wanafunzi waliopata madaraja ya chini katika matokeo ya kidato cha 5 na 6 ndo wakasomee kozi ya ualimu. Mtu mwenye uelewe mzuri hawezi kufanya kitendo cha namna hiyo.
Kuandika tu, baadhi ya maneno hujui, 'uzaririshaji' sijui ndio nini!? Ndo ije kuwa huo weredi wako.Positively mwenyew hcho kitu nimekiona na nikawaza kama mleta Uzi......ule ni uzaririshaji kabisa afu ni ukosefu wa weledi wa kazi