RC iringa(Ali hapi): Kila mtumishi lazima awe na ilani ya ccm,

RC iringa(Ali hapi): Kila mtumishi lazima awe na ilani ya ccm,

Olmost

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2014
Posts
340
Reaction score
448
Watapata tabu sana, [emoji3] [emoji3] [emoji3]
IMG-20180807-WA0004.jpg
 
Isambazeni kwa soft copy itafika.
Cost effective na rafiki wa mazingira.

Hizi zileteni na randama na bango kitita tuzielewe vizuri ili ikiwezekana yaliyo mepesi tutekeleze wenyewe fasta./ mantiki zieleweke. Maana nyingi maneno matamu tu. Tujue zinatekelezekaje??.
 
Ni Wazo zuri ila atoe na kifungu cha Sheria ya utumishi yenye kifungu hicho ili kuhalalisha akisemacho.
 
Ni baada ya kunusurika kutumbuliwa
 
Watumishi wa umma wanatakiwa kuwa non political.

Hizo ilani huwa zinawekwa kwenye sera za serikali.

Watumishi wa umma wapewe sera za serikali, sio ilani ya chama tawala.

Hawa ma RC wanaharibu kazi.
 
Watumishi wa umma wanatakiwa kuwa non political.

Hizo ilani huwa zinawekwa kwenye sera za serikali.

Watumishi wa umma wapewe sera za serikali, sio ilani ya chama tawala.

Hawa ma RC wanaharibu kazi.
Ndo walivyoambiwa na mwenyekiti siku ile ya kuapishwa kwao
 
Ndo walivyoambiwa na mwenyekiti siku ile ya kuapishwa kwao
Huyo mwenyekiti hata siasa yenyewe haijui anadhani tuko kwenye serikali ya chama kimoja na mfumo wa vyama vingi ni dhambi!
 
I think as long as maendeeo yanafuata mikakati ya chama chao sio shida.
 
I think as long as maendeeo yanafuata mikakati ya chama chao sio shida.
Ni shida kwa sababu maendeleo ni pamoja na kufuata utawala wa sheria. Utawala unaosema watumishi wa umma hawatakiwi kuwa na shobo za vyama kazini.

Hizi ilani ni shobo za vyama.

Watumishi wa umma wanatumia sera za serikali, ambazo tayari zinabeba ilani ya chama ndani yake.
 
I think as long as maendeeo yanafuata mikakati ya chama chao sio shida.
Ndani ya ilani kuna mkakati gani? Ukisoma ilani inasema tutajenga barabara kuunganisha vijiji ili wakulima waweze kusafirisha mazao yao...huo nao utauita mkakati?? Wajaribu kutumia kichwa kufikiri
 
Ina maana utawala "ukiharibika"ukaingia utawala mwingine na hao watumishi wataharibika pia ilikuleta watumishi wengine wa itikadi ma ilani nyingine?
 
Back
Top Bottom