Recent content by Malaika wa Kifo

  1. Malaika wa Kifo

    Nifanye nini katika hili?

    Mwanaume utaoaje ukiwa na miaka 24? Piga chini huyo mwanamke kula ujana ukifisha kuanzia miaka 30+ ndo uanze kutafuta Bikra uoe, tena tafuta kuanzia Binti wa miaka 18 hadi 23 ndo Huo umri ulionao sasa utumie kujijenga kiuchumi
  2. Malaika wa Kifo

    Awamu hii tumewakamata na hamchomoki. Mwajifanya mwajua kupanga pangeni na hii

    Una uhakika hata kama Lisu akigombea Urais akiwa Gerezani mtashinda?
  3. Malaika wa Kifo

    Nipo tayari kutoa milioni 5 kwa mtu atakayenionyesha hili andiko

    Naona mmeikazia Mil 5, anyway mleta mada kama kweli alikuwa na nia ya kutoa sadaka kwa muumini wa kweli naamini ataitoa
  4. Malaika wa Kifo

    Acheni hii tabia mnakeraa

    Mimi nasitisha kila kitu, maana sidhani kama kuna binadamu mwenye kinyaa kuliko mimi Yaani mimi mwenyewe nikihisi natoka jasho tu najionea kinyaa
  5. Malaika wa Kifo

    eFootball Special Thread

    Shukrani, maana vijana wa ofisini wamenishawishi DLS sema sijaielewa graphics yake
  6. Malaika wa Kifo

    eFootball Special Thread

    Tupeni picha za playstore basi tudownload maana nimesachi kule nakuta lina 2GB ndo lenyewe?
  7. Malaika wa Kifo

    Wakuu kuanzia sasa na kuendelea nikiona mtu anapigania usimba na uyanga najitolea kumpeleka Mirembe

    Binafsi Bongo sina timu, ila zinapokutana Hizi timu mbili huwa naburudika, kwa nini... napenda kuona lile vibe wanalokuwa nalo mashabiki wa hizi timu mbili....ila zinaposhiriki mashindano ya kimataifa huwa nakuwa upande wao Kilichoharibu soka la bongo ni siasa, mpira na siasa ni vitu viwili...
  8. Malaika wa Kifo

    Mmiliki wa Scania number T.696 CDZ unaibiwa mafuta hapa Mbalizi

    Mifumo ndo inayolazimisha watu tuwe hivyo
  9. Malaika wa Kifo

    Naomba kuuliza siyo Kwa ubaya lakini

    Hilo jina lina maana kubwa sana
Back
Top Bottom