Kwa niaba ya chama changu cha NCCR, nawataarifu rasmi kuwa jana tuliwasilisha barua kwa spika kumtaarifu rasmi juu ya kuvuliwa uanachama wa Kafulila kwa makosa ya utovu wa nidhamu.
Kwa hiyo anayedhani tunamgwaya aachane na mtazamo huo, hiki chama ni makini, hakina woga kinajiamini katika mambo...