Recent content by Malafyale01

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Daaaaah. Acha tu mwana. Amesepa nacho si mchezo
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kampuni gani hii mdau? Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nani aliweka GG sasa[emoji16][emoji16]
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Waathirika wa Corona (COVID-19) wafikia 49 kutoka 32

    Natamani hata kumuandikia barua Mh rais japo nitoe ushuari wangu!! Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kumbe huu utapeli bado upo?

    Braza hawa jamaa dawa yao ni kutowapa muda kuwasikiliza. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. M

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kumla shemeji yako?

    [emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Jamani premier bet wanakwama wapi mbona uki depsit fedha haisomi kwenye akaunti yangu? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hiyo slogan nimeikubali sana sema wengi wata Die Trying!![emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Huyu mwekezaji bana anadanganya wawekezaji wenzie asubuhi asubuhi[emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hizo zote umepataje wakati wameweka game za jana na leo na match za leo hazijachezwa? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hawana bonus. Tuwekee mkeka hapo ndg mwekezaji Sent using Jamii Forums mobile app
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wawekezaji mi naona kwa siku za hivi karibuni Direct win ni ngumu sana. Nimefatilia angalau GG inatoa kwa hivi karibuni ziwe big games au timu ndogo ndogo. haitakupa hasara sana kuliko Direct win. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Anasepa na mitaa yake Sent using Jamii Forums mobile app
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Huu mwaka kamali ya mpira wa miguu ni ngumu saaaaana. Duuuuh. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kama kuna jambo Watanzania hawalijui ni hili

    Kabisa kabisa Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom