Kukaja Kununu
JF-Expert Member
- Mar 27, 2017
- 1,077
- 1,210
Wale jamaa si wa kuwapa nafasi ya kuwasikiliza...sijui wana sumaku mdomon!!!
😀 😀 😀 😀 😀Kuna siku niko kituo cha mwendokasi asubuhi tunasubir gar mara akaja Mama mmoja anaanza michongo ya ooh nna madini nauliza wap ntapata mnunuz mzur, Nikajibu to kistaarabu mie sifaham kwa kwel
Mara akaja mshkaj pemben yangu Ooh mim napajua kama vp tumpeleke nkamwambia kama unapafaham we nenda nae tu.
Yule mama akaanza unaonekana mwaminifu naomba twende wote tu kwa usalama maana mie mgeni hapa mjini
Nikawaangalia wote nkawajibu tu huo Utapeli wenu ntawapelka kwa yule askari pale msinizoee.
Dakika mbili nying naona hao wanaondoka na hawakupanda tena mwendokas wakatokomea nje huko.
Sent using Jamii Forums mobile app
😂 😂 😂 😂 😂 😂ntawapelka kwa yule askari pale msinizoee
Siku zote mtaji wa tapeli huwa ni tamaa ya mlengwa, ukiwa mpenda slope ni rahisi sana kutapeliwa.Huo Utaperi sio wa kutumia Dawa.... Wanakutamanisha tu.....
Always Washamba, wenye Tamaa na wasio na Uelewa ndo Hutapeliwa.
Yeah.. ni kweli mkuu.Dawa pekee ya hao matapeli ni kutowapa muda wa kuwasikiliza. Wakikuona uko busy kwenye matembezi yako, watakupotezea.
Sawa mkuu. Si watu wote wanaelewa haya mambo. Kama wewe uko vizuri fresh tuHakuna dawa wanayotumia ni ukilaza wa anayetapeliwa. Hivi hadi leo mtu unaishi hujawahi kukutana na story kama hizi? Ndio maana hawamfuati kila mtu wanakuangalia kwanza wakiona umekaa kama wakuja ndio wanakufuata. Na ndio maana wamefanikiwa kwa huyo kijana wako.
Mwambie aende kwa mganga kuwaloga(huko nako anaenda kupigwa tena)
Halafu hizi story nyingine sio za kusimulia ukiibiwa kizembe kaa tu kimya
Kweli kabisaHuyo dogo ni poyoyo.. ukiwa mjini fuata mambo yaliyokupeleka ... mambo ya kuanza kusindikizana na strangers ndio mtakuja hata kuuawa au kusingiziwa kesi za ujambazi.
Huu ulishanikuta moshi maeneo ya mjini pale, mwanzoni niliwaona wema ila baada ya wao kuanza kupiga story za nyota nilipatwa na wasiwasi nikajeuka, nilivyokua narudi tu nakukatana na mama anakuja nyuma yangu akaniuliza hawajakutapeli ? Kumbe mama yule anawafahamu na akajua hawatoniacha salama, yule mama alikua ameita polisi kabisa, wakati narudi stand niliwaona wanaingizwa pale central wakiwa wamepigwa bangili za polisi, siku hiyo ilikua jumapili na nna elfu 30 mfukoni, na home niliaga naenda kanisani mi nikaenda town nikanunue simu used pale stand ya moshi chini ya mwembe!!! Nilichogundua hawa watu hawatumii dawa ila wamejipanga tu neno juu ya neno hawakuachii ufikirie, mimi nilikua form two ila mpaka leo hata kama uwe vipi siwezi kukupa direction kwa kwenda nawewe labda uwe mdada murembo sana !!
Sent using Jamii Forums mobile app


ulipona chiefBraza hawa jamaa dawa yao ni kutowapa muda kuwasikiliza.Hakuna dawa wanayotumia ni ukilaza wa anayetapeliwa. Hivi hadi leo mtu unaishi hujawahi kukutana na story kama hizi? Ndio maana hawamfuati kila mtu wanakuangalia kwanza wakiona umekaa kama wakuja ndio wanakufuata. Na ndio maana wamefanikiwa kwa huyo kijana wako.
Mwambie aende kwa mganga kuwaloga(huko nako anaenda kupigwa tena)
Halafu hizi story nyingine sio za kusimulia ukiibiwa kizembe kaa tu kimya