TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,593
Kama kuna mtu au nabii alishawai kutabiri kwamba JPM atakuwa rais,bhas jua kuna kila dalili zinazoonyesha kwamba Paul Makonda haitamchukua awamu tatu zijazo atakuwa rais wa nchi hii.
Kuna watu kibao baada ya kupitia uzi mbalimbali nimeona walitabilia watu mbalimbali kushika uongozi ktk taifa hili n kweli leo uzi kama hizo bado zinaishi ni dalili ya kwamba Mungu aliwafunulia watu hao.
Na mimi pia nimeamua kufanya tabiri yangu kufuatia yanayoendelea sasa mm naona hiyo ni kama baraka kwa kiongozi huyu wa kisiasa tofauti na wengi wanavyofikilia.
Tuiombee JF ihishi miaka mingi hili uzi huu utumike kama maneno ya kinabii.