Nimesoma majibu ya Zitto na Dr.Kitila.Wameeleweka na wamekiri mipango na hofu waliyo nayo viongozi,wajumbe na wanachama.
Ushauri.Ni muda muafaka kwa watanzania kuwaza kwanza namna ya kujenga mifumo na taasisi imara zaidi ya kukimbilia kwenye kujenga umaarufu binafsi.
Kina Mkumbo na Zitto kama...
Clouds kama ukiwa mtu wa kutafakari kidogo utagindua ni Maopotunist.Kimsingi ni watu wanao deal na kusadiki ktk mambo mepesi mepesi yasiyokuwa na mitizamo mipana na maslahi kwa nchi.
Unlike other stations they deal more with individuals rather than Institutional Issues.
Aina ya viongozi kaliba ya Mwigulu ni hatari sana.Nakubaliana na comment ya Professa wangu mmoja kuwa Mwigulu hakutarajia kufikia hapo alipo hivyo anayoyafanya ni Paniki tupu akidhani watanzania wa leo ni wakufanyiwa mizaha.
Naamini ni kati ya wanasiasa wanaongoza kuchukiwa na Watanzania wengi...
Ni Jambo Jema na muhimu taifa hili kwa maana ya system kutambua vijana potential kama Viongozi wenye upeo na uzalendo wa kweli bila kujali ITIKADI ZA VYAMA.Iwalinde kwa gharama yeyote ili watuvushe na tusonge mbele kwa kasi.Aina ya akina Mnyika hawapo wengi katika siasa.He deserve to become a...
Chris.Hivi umechoka kubeba mabox huko ughaibuni?au kuhudumia wazee imekuwa kazi ngumu sana?urudi tu bongo huko kugumu.Siasa za kuonewa huruma nazo huku zinaelekea ukingoni sijui ajira itakuwaje kama ukirudi nyumbani.
Huyu lemutuz azidi kuomba ccm iendelee kutawala maana hana cv wala uwezo wa kufanya kazi nyingine.Ukweli tangu nianze kusoma comments zake humu ndani anaonyesha upeo mdogo sana na hana u serious wowote katika chochote.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.