Recent content by makwesa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tutazuia Sensa mahakamani na kwa maandamano ya amani - Sheikh Ponda Issa Ponda

    Radio imani live:sikilizeni hoja za waislam kwanini hawatashiriki sensa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Jionee mwenyewe honda ilivyo fichwa

    Kweli kwani huyu jamaa ameingia vp na cm kwenye paper km sio kawaida yake ku google kila kitu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa waombaji wapya wa mikopo (heslb) mwaka 2012-2013

    Hiyo ni lazima hata kabla hawajatoa lazima wapo ambao wataambiwa bajeti haitoshi,labda kwa mwaka huu ila ni kawaida yao
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwa namna hii muungano lazima ubadiliswe

    Kwa yule aliye karibu na tv weka z.b.c. Ujionee mwenyewe, wawakilishi wanaonesha wameuchoka kabisa muundo huu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Picha - Speaker Makinda na hijabu

    Hili ndio vazi bora kwa wanawake,halimkatai mtu,wengind badilikeni.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Soma hii ya uamsho ucheke mwenyewe, hawa jamaa wamechanganyikiwa

    Acha ufinyu wa kufikiri wewe,waliopoteza maisha si waislam tu bali dini zote,mf.leo kuna padre amezikwa kutokana na ajali hiyo
  7. M

    JamiiForums Tanzania Dhana duni ya 'Mfumo Kristo'

    Jiulize kwani znz ipo ndani ya nchi gani?ndio maana sasa hivi wanataka kujinasua,viongozi walikuwa hawana sauti ndani ya selikali
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga

    Waislam sasa wameamka kuburuzwa basi,na washaijua kuwa ina malengo gani kwa waislam,kwanza bakwata imeundwa na nyerere unategemea nini hapo?tuna shukuru radio imani kwa kuwaamsha waislam,mungu irinde redio imani
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wahusika Katika shughuli nzima ya NECTA

    qu'an inasema (soma) ktk uislam kitu cha kwanza ni elimu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wahusika Katika shughuli nzima ya NECTA

    acha hizo ww,aondolewe humu kwa kuongea ukweli?kwani amna waislam waliosoma?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Sina imani tena na Chadema

    cdm nao kama ccm,viongozi wao c ndio wazee wa changa la macho,wanajifanya hawataki magari ya kifahari kuwazuga watz baadae kimyakimya wanayachukua
  12. M

    JamiiForums Tanzania Udhalilishwaji wa waislam na vyombo vya dola

    bakwata haina mvuto kwa waislam kwa sasa
  13. M

    JamiiForums Tanzania Udhalilishwaji wa waislam na vyombo vya dola

    mwenye kuelewa ameelewa ila mjinga ataendelea na ubishi.waislam wamezinduka kuonewa bac.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kabla hawajatuletea madaktari, je hali ya maisha Iran ikoje?

    nadhani wameshaelewa kuwa irani ipo juu kimaendeleo yote
  15. M

    JamiiForums Tanzania Idadi ya vifo vilivyotokana na mgomo wa madaktari

    Haya yote sababu ni dr.ulimboka na wenzake.tumuombe mungu amponye kisha wapandiswe kizimbani wakajibu hoja kwa hivi vifo watz wasio na htia
Back
Top Bottom