Ushauri wa bure kwa waombaji wapya wa mikopo (heslb) mwaka 2012-2013 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri wa bure kwa waombaji wapya wa mikopo (heslb) mwaka 2012-2013

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mtz.mzalendo, Jul 27, 2012.

 1. M

  Mtz.mzalendo JF-Expert Member

  #1
  Jul 27, 2012
  Joined: Jul 22, 2012
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inauma sana pale watoto wa masikini wanaponyimwa mikopo kwa majibu ya bajeti haitoshi eti sababu sungura mdogo,hii haikubaliki ukizingatia bajeti ya elimu bado haijapitishwa hivyo sioni sababu ya wenye sifa kukosa mikopo,hivyo tuungane kwenda wizara usika mpaka kieleweke hakuna kurudi nyuma.
   
 2. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Hawa jamaa siwatatuulimboka?
   
 3. Wi-Fi

  Wi-Fi JF-Expert Member

  #3
  Jul 27, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,070
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  kwani wameshatoa majina?? nimeshindwa kupata point yako ndugu
   
 4. m

  makwesa Member

  #4
  Jul 27, 2012
  Joined: Jun 17, 2012
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hiyo ni lazima hata kabla hawajatoa lazima wapo ambao wataambiwa bajeti haitoshi,labda kwa mwaka huu ila ni kawaida yao
   
 5. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #5
  Jul 27, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Na kuapeal nako inakuaje??
   
 6. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #6
  Jul 27, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  nadhani unakumbuka PRIORITY na NON-PRIORITY!! sasa hapa ndo sehem yao ya kujitetea kama utapangwa kwenye caurse ya NON-PRIORITY ukinyimwa loan utakua huna pa kukimbilia..nadhan wamejiadhari toka mapema..kwa hiyo wajameni tuwe tiar!!!!
   
 7. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #7
  Jul 27, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Tena na hvi budget ya mwaka huu elimu sio kipaumbele!mtafurahi wenyewe.
   
 8. Advocate J

  Advocate J JF-Expert Member

  #8
  Jul 28, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 3,880
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  kwa mfano mtu akiandikiwa 0% ataweza kupewa bumu? na je akiaandikiwa nil? ndo kakosa vyote auu? wadau nifahamisheni kabisa
   
 9. M

  Mtz.mzalendo JF-Expert Member

  #9
  Jul 28, 2012
  Joined: Jul 22, 2012
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ata mwaka jana walisema watu wa education hawakosi mkopo lakini kilichotokea baadae unaambiwa bajetiphaitoshi
   
 10. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #10
  Jul 28, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Ukiandikiwa 0% hapo hupati tuition fee yaani utahilipia 100% ila bum na pesa zingine utapata, Na ukiandikiwa NIL hapo sahau kilakitu yaani "HUPATI CHOCHOTE"
   
 11. by default

  by default JF-Expert Member

  #11
  Jul 28, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  wabongo ujui wanavyopenda kubahatisha na sheria ni msumeno.
   
Loading...