Recent content by Makwarukwaru

  1. M

    JamiiForums Tanzania Victor Bout na JWTZ, Meremeta na DRC, Mwanza na Mapanki: Connecting the dots!

    Inawezekana tunajipa mimani tunaijua nchi yetu kumbe hatujui chochote!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwa nini JWTZ wanaweweseka?

    Kwahiyo we ulitaka wakae kwakua bomu linaangalia huyu mwanajeshi halitamuua? That was a wise choice to run and save your life,kukimbia sio woga pia ni silaha na inasaidia sana kama unajua kuitumia vizuri. Weldone makamanda kama we ungekua hata koplo ungesimama???
  3. M

    JamiiForums Tanzania Sintofahamu baina ya JK na Kagame; Tanzania tuwe makini na suluhu tuitakayo!

    Haya yote yanakuja kwani inaonesha kuna mahali tumejikwaa, kutojipanga vizuri kiuchumi sasa tunadharaulika. Sisi ndo nchi kubwa katika Afrika Mashariki. Kwanini tunyanyasike hivi?
  4. M

    JamiiForums Tanzania [Pic - MUST SEE] : Zuma and His SANDF ready To Help Kabila and Kikwete to do This In DRC CONGO...

    Yaani hii ni kwa uchungu na uzalendo kabisa.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda Issa Ponda SIYO Mtanzania....

    Katika vyoote nilivyosoma hapa nimesikitishwa na hiyo mbinu ya usalama wa taifa kujifanya sijui uhamiaji ili kupata data za wazazi wake kama damu na nywele ili kupima DNA! Sidhani kama usalama wetu wa taifa umekosa mbinu kiasi ukaombe "damu na nywele"... Ina maana hao ndugu wa Shehe Ponda...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Issue ya Kikwete, Kagame, Rwanda na Tanzania: Ushauri wangu

    Pia inawezekana kuwa hili nali limo.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kitendawili cha September 11(9/11,9-11,911)

    Puppy ili tuweze kuongeza uelewa wetu inabidi tujifunze mambo makubwa kama hayo
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kitendawili cha September 11(9/11,9-11,911)

    Bora kuumia kwa kujua ukweli kuliko kujifariji kwa uongo.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kitendawili cha September 11(9/11,9-11,911)

    Domhome is this to say that it was already planed? as you gave the evidence from Quran? What is the significant of that number "11"??? What is inside that number???
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kumjuwa na kumsoma mwanamke sura yake

    Nimependa maelezo yako japo sijajua umeyajenga katika msingi gani?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kitendawili cha September 11(9/11,9-11,911)

    Leo ikiwa ni miaka zaidi ya kumi tangu litokee tukio lililoiacha dunia kwenye kitendawili kikubwa mpaka sasa cha kutokujua nini jibu lake baada ya majengo mawili World Trade Centers comlex "kugongwa" ne ndege kwenye jiji la New York, USA. Mpaka sasa mengi yamesemwa kuhusu chanzo cha matukio...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Spetsnaz

    Hawa walikua ni special force ya Russia,je bado wapo mpaka sasa au walikufa na jamuhuri ya kisovieti? Naomba msaada kwa anaefahamu kwa undani kuhusu hawa jamaa.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kikwete siyo safi! - yes I said it!

    Mhh,tatizo wengi wetu huku kijijini hatuyajui haya na hata tukiyajua hatuwezi kuyapembua kikubwa elimu inahitajika sana.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya madawa ya kulevya.

    Lakini Wamunzengo kweli tukiendelea kukaa kimya jamii yetu tutakua tunaipeleka wapi?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Jambo la Muhimu

    Acha waje ili wapeleke habari kwa huyo Joyce.
Back
Top Bottom