Ndugu zangu nataka kuwapa pole wale waliowashabiki wa ZZK kiasi cha kushindwa kuangalia ukweli wa mambo. Hivi tukihachana na usaliti, ni chama gani kisichokuwa na taratibu na miiko. ZZK akiwa naibu katibu mkuu wa CHADEMA alijua fika kuwa kushtaki CHAMA mahakamani ni kosa la kukuondoa ktk chama...
Hili ndilo ombi langu kwa Mungu aliye hai, aliokoe taifa la Tanzania na mikono michafu ya kifisadi ya Lowassa. Najua wapo wanaomshabikia lakini yeye akisoma hili anatambua kuwa naomba jambo la msingi kabisa maana yeye anajijua kuliko nyie mnaomshabikia. Lowassa ni mbaya sana ni janga. Kwa nafasi...
Ni ukweli usiopingika kinana ni jangili mkubwa akwa ndiye kiongozi wa mtandao wa wasomali kazi zao ni kubeba meno ya tembo kwenye mafiat. Kinana ni jangili jamani pia ni mwizi kabisa.
Kufuta ada hakuna maana yoyote katika maendeleo ya Elimu, kama kuna maana basi watoto wenu enyi mafisadi wangesomea shule za serikali ambako ada ni Tshs 20,000/= kutwa na Tshs 75,000/= kwa bweni badala yake wako shule za binafsi amabako ada ni mamilioni. La kushangaza wanafunzi wote katika shule...
Hivi unaweza kumlinganisha Tido Mhando na Mshana! Walimtoa mtu wakaweka sanamu. Hivi Mshana anaelewa kitu gani katika tasinia ya vyombo vikubwa vya habari, anaupeo gani? huyo ni kanyaga twende hana lolote analoweza kufanya yeye ni kusikiliza Chama kinamuagiza afanye nini basi lakini. Katika hili...
Mungu Muumba wa nchi mwingi wa rehema. Wewe uliyeziumba mbingu na nchi nakuja mbele zako usiku huu nikiwa ninamzigo moyoni mwangu juu ya nchi yangu ya Tanzania ambayo uliiumba na kuipa kila kiitwacho baraka. Nakushukuru kwa jinsi ulivyoipendelea Tanzania. Kama ulivyowaumba malaika wako wema...
Kama vile umeniona! Nilidhani ni mimi tu. Ni ukweli usiopingika Kikwete Kachokwa na zaidi CCM imechokwa. Sasa hivi CCM inaonekana kama shetani katikati ya malaika wa Nuru. Kikwete ni taswira ya CCM. Hakika kwa dhambi ya CCM inayoifanya kwa sasa hukumu lazima iwaangukie 2015.
Nimeshindwa kupata correlation katika uzi huu. Hivi unaweza kulinganisha kuiba mamilioni ya wananchi kifisadi na mtu kubadirika katika msimamo ambao inajulikana ni kwa sababu gani. Hivi mtu hana uhakika kama amepona katika ile sumu alafu aongezwe kuandamwa kwa kupinga msimamo wa maccm? Edward...
Hizo ni kero dogondogo za kiutendaji mipakani wala msizipe sura ya mahusiano ya nchi. Hao waliovuka huenda wamesukuwa na ahadi ya vijisenti alivyohaidi aliyeibiwa pikipiki yake. Adhabu ndogo tu yawatosha, sana sana wachapwe viboko waende wakawaonyeshe wake zao
Huu ndiyo Ukweli kuhusu ushwari katika uchaguzi wa Charinze. Kwanza naomba tuelewe kuwa kama kuna majimbo ambayo CCM hata ikisimamisha tofari na vyama vingine vikaweka watu wenye degree zao lazima ishinde tu kutokana na hali ya watu jimbo hilo maana mtaji mkuu wa CCM huwa ni ujinga wa wananchi...
Ina maana St.John's mtu mmoja anajiweke matokeo anavyotaka, hakuna vikao vya kupitisha matokeo? Yaani jamaa kutoka tu Polisi akabadirisha matokeo. Mhu, labda lakini kwa wanaojua taratibu zamitiani ya vyuo vikuu hii haingii akilini
HIVI NINYI MLIMUONA NDUGAI JANA KWENYE THIS WEEK IN PERSPECTIVE? KIZUNGU OVYO, HOJA OVYO NA MBAYA UONGO ALIOUONGELE NA WASIO NA AKILI KAMA YEYE KUUKUBALI. Hivi kama hoja ni hofu ya CUF kuwa wengi na kuwanyanganya nafasi ya Kambi rasmi ya Upinzani iweje TL katika hotuba yake atake ongozeko la...
Hiyo ndiyo dawa tunawahitaji na huku Kata ya Kyengege, Kinampanda na Ulemo. CDM mnapendwa na watu wako tayari kuwaunga mkono hoja zenu zinatija. Ng'oa mizizi ya CCM zama hadi wanayoita mashina samabaratisha kabisa.
HOJA ZENYE TIJA ZA CHADEMA + ONGEZEKO LA UELEWA WA WANANCHI + MGOMEA WA CCM...
Waziri mkuu mstaafishwa Edward Lowassa anajitahidi kumwaga fedha kama njugu akitafuta kuingia Ikulu. Hivi hizo fedha anazitoa wapi? Namradi gani unaozaa faida kiasi hicho? Kama kunawatu wanampiga tafu, je anategemea kuwapa malipo yapi? JAMANI LOWASSA NI KAMA UKIMWI UKIKUINGIA HAUTOKI, UNAMWINGIA...
Kwa hapo Katibu Mkuu wa CCM unataka kutuambia nini? Je utakataa nikisema kuwa chama chako CCM kimesababisha matatizo makubwa kwa wananchi ambayo yanakunyima usingizi hadi kunyonyoka nywele?. JIbu unalo
Lakini hata kale kabiashara kako ka pembe za ndovu hakawezi kukupa usingizi, maana kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.