Recent content by makumvi

  1. M

    CCM ina kazi kubwa sana ili kulikomboa Jimbo la Mbeya Mjini!

    Mbeya mini ni Stronghold ya Chadema, ccm wanatambua hilo..labda wamchukue Sugu kwa garama yayote ndo itakuwa kazi nyepesi kulichukua jimbo
  2. M

    NEC yatangaza Uchaguzi Kata 37. Yateua Madiwani watatu wa viti maalumu

    Hiv hizi chaguzi sisizoisha mwisho wake nini ? maana sasa imekuwa nchi ya uchanguzi kila kukicha..hizo pesa zingefanya maendeleo zitujengee miundombinu ya Maji, Barabara na hata vituo vya afya, inachosha sana kwakweli maana idadi kubwa ni wale madiwani waliohama chama kimoja kwenda kingine na...
  3. M

    Msaada: Nimekosea kutuma fedha kutoka benki yangu kwenda kwenye mtandao wa Vodacom

    Huyu mtu hana ujanja ukifuatilia atadakwa tu sema sasa lazima uhangaike mpk kumfikia..na huenda ukatumia gharama zingine za ziada mpk kufanikisha hilo jambo
  4. M

    Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Abdul Nondo aliyekuwa anakosoa mwanafunzi Akwilina kuuawa na Polisi, hajulikani alipo

    Na wamwachie kijana, kama kweli ana hatia kwann wamchukue kimia kimia ? haya mambo mwisho wake ni nini ?
  5. M

    Knock.. Knock,!!

    Karibu mgeni mwenyeji, maana upo humu zaidi ya mwaka sasa..cjui huo ugeni ni wa namna gani
  6. M

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Mashangingi yaondolewe tu, nina imani magufuli atalifanyia kazi hili kwani ana mzigo mzito sana wa kufanya mabadiliko ya kiuchumi, hivyo bila kunana bajeti zisizo za lazima malengo hayatatimia
  7. M

    Nauza flat tv sony bravia inchi 32 original kwa bei poa

    Tupia picha basi wadau tuione
  8. M

    Mvomero: Wananchi kutumia maji pamoja na mifugo

    Watu wa Mvumelo wanataabika sana na hii hali, lkn hawataki kubadilika..
  9. M

    Didas Masabuli asubiri kuapishwa tu

    Masaburi hataweza, Muziki wa Kubenea ni mkubwa sana Ubungo..hata wenyewe wanalifahamau hilo
  10. M

    Yaliyojiri Jijini Arusha: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dk. Magufuli – Oktoba 6, 2015

    Kwani hujui kama hizo ni FIesta tours ?
  11. M

    GE2015 Lowassa akanusha tetesi za kuhamia CHADEMA

    Hawakumtendea haki, ndo maana ameamua kuachana na ccm..wananchi wanampenda kwasababu wanasiasa wengi huwa hawaekelezi wanayotuahidi majukwaani..hebu na ww tafakari kama chama tawala kimetekeleza ahadi zake zote kwa miaka 10
  12. M

    UKAWA wakishindwa nani ataweza?

    Walishasema Ushindi ni lazima, hii inaamisha kuwa maamuzi ya wananchi hayatakuwa na nafasi...
  13. M

    Hatimaye zaidi ya wanachama 1000 warudisha kadi zao Mbalizi Mbeya

    Huo ni usanii tu, hao walirudisha kadi mi wanachama fake, walioandaliwa kuidhoofisha UKAWA kisaikolojia..ni mwaka mgumu sana kwa chama tawala kwani nguvu ya uma inataka mabadiriko ambayo ccm imeshundwa kuyaleta kwa kipindi cha miaka 50 mtanzania hawezu kumudu hata mlo moja wa siku ?
Back
Top Bottom