Mvomero: Wananchi kutumia maji pamoja na mifugo

Mfilisti

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2015
Posts
3,729
Reaction score
19,466
‪‎Wananchi wa kijiji cha Wami Sokoine wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro wamelalamikia kutumia maji machafu yanayotumiwa na mifugo kwa muda mrefu hali inayotishia afya za wananchi hao kwa kuhofia kupata magonjwa.

Wakizungumza kwa masikitiko wananchi hao wamesema wanalazimika kununua maji shilingi 1,500 kila dumu la lita 20 ambapo wamesema wanashangazwa na hatua ya serikali kushindwa kufanya jitihada za kuwapatia maji wananchi wa kijiji hicho hali ya kuwa wanalipa kodi kama watanzania wa maeneo mengine kama Iramba mkoani Singida.
 
Attachments

  • 1446634139814.jpg
    1446634139814.jpg
    11.4 KB · Views: 461
Watumie tu hamna namna.
 
sasa wanataka aje kunywa lowassa na familia yake,wanywe tu hakuna namna
 
Mtaisoma # mbele kwa mbele tu! Na bado
 
‪‎Habari‬:Wananchi wa kijiji cha wami Sokoine wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro wamelalamikia kutumia maji machafu yanayotumiwa na mifugo kwa muda mrefu hali inayotishia afya za wananchi hao kwa kuhofia kupata magonjwa.
Wakizungumza kwa masikitiko wananchi hao wamesema wanalazimika kununua maji shilingi 1,500 kila dumu la lita 20 ambapo wamesema wanashangazwa na hatua ya serikali kushindwa kufanya jitihada za kuwapatia maji wananchi wa kijiji hicho hali ya kuwa wanalipa kodi kama watanzania wa maeneo mengine Kama iramba mkoani singida

#hapa kazi tu
ccm mbele kwa mbele,wacha waisome namba eeehhh
 
Si waliwaona ze Komedi kampeni za mwaka 2010. Na juzi wamemuona Diamond Platinumz buree kwa hisani ya CCM .#Hapa Kazi tu#
 
‪‎Habari‬:Wananchi wa kijiji cha wami Sokoine wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro wamelalamikia kutumia maji machafu yanayotumiwa na mifugo kwa muda mrefu hali inayotishia afya za wananchi hao kwa kuhofia kupata magonjwa.
Wakizungumza kwa masikitiko wananchi hao wamesema wanalazimika kununua maji shilingi 1,500 kila dumu la lita 20 ambapo wamesema wanashangazwa na hatua ya serikali kushindwa kufanya jitihada za kuwapatia maji wananchi wa kijiji hicho hali ya kuwa wanalipa kodi kama watanzania wa maeneo mengine Kama iramba mkoani singida

Maisha bora kwa kila M-Tanzania...!!
 
Wanashindwa kuchemsha au ni uvivu uliopitiliza na wanangoja wafanyiwe?
 
Acha waendelee kuyetumia hakuna namna nyingine na bado wataisoma namba
 
Watu wa Mvumelo wanataabika sana na hii hali, lkn hawataki kubadilika..
 
samahani lakini kwani huko wamechagua mbunge wa chama gani
 
‪‎Wananchi wa kijiji cha Wami Sokoine wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro wamelalamikia kutumia maji machafu yanayotumiwa na mifugo kwa muda mrefu hali inayotishia afya za wananchi hao kwa kuhofia kupata magonjwa.

Wakizungumza kwa masikitiko wananchi hao wamesema wanalazimika kununua maji shilingi 1,500 kila dumu la lita 20 ambapo wamesema wanashangazwa na hatua ya serikali kushindwa kufanya jitihada za kuwapatia maji wananchi wa kijiji hicho hali ya kuwa wanalipa kodi kama watanzania wa maeneo mengine kama Iramba mkoani Singida.

wanye na kufa tu maana hamna namna
 
kweli Tanzania bado Elimu inahitajika tena. Japo hawaitaki ila nadhani kuna haja wapelekwe kwa lazima..

mtu anailalamikia siri-kali halafu angalia alichovaa

huu ni zaidi ya upimbi
 
Attachments

  • 1446642196403.jpg
    1446642196403.jpg
    53.4 KB · Views: 280
Back
Top Bottom