Elections 2015 Lowassa akanusha tetesi za kuhamia CHADEMA

Miezi miwili na ushee iliyopita mgombea huyu aliulizwa na wahariri wa magazeti iwapo atahama CCM kama haitamchagua kugombea urais mwaka huu. Jibu lake lilikuwa kwamba hatahama CCM kamwe kwa sababu ilimlea, na kwamba huyo ambaye hamtaki ndani ya CCM ndiye ahame chama hicho!

Hata hivyo, kabla mwezi haujakatika mgombea huyu akakihama chama hicho na kujiunga na chama cha Upinzani, na chama hicho kikamteua kugombea urais, na sasa kuna -vijana wanamshabikia! Kimsingi aliongopa katika jibu lake lile na taswira aliyojijengea ni ya mtu asiyeaminika katika kile anachosema.

Ingekuwa ni Wazungu au sisi watu wenye kufikiri sawasawa, tusingemshabikia -katika mbio zake za urais kwa sababu ni mtu mwongo, kigeugeu na asiyeaminika, mtu asiyeweza kusimamia maneno yake mwenyewe.

Lakini kwa uwezo wetu mdogo wa kufikiri, baadhi yetu- tunamzawadia mgombea huyo kwa kumuunga mkono kwenye kampeni yake ya kuusaka urais kwa udi na uvumba!

Uongo na ukigeugeu kama huo pengine ungevumilika kama nafasi yenyewe anayowania si urais. Lakini urais ni kazi yenye heshima, utukufu, uadilifu nk. Ni kazi ambayo haimfai mtu mwongo na asiyesimamia maneno yake mwenyewe.

Vijana wetu hawajiulizi, kama huyu alidiriki kutudanganya jana, kwa nini asiendelee kutudanganya hata leo au hata baada ya kuingia Ikulu.

Tutamwamini vipi katika hayo anayodai kuwa atatutendea akiingia Ikulu kama huko nyuma aliwahi kutudanganya kwa kushindwa kusimamia maneno yake mwenyewe? TAFAKARI:

Hizo ndio kauli za wanasiasa, hukumbuki zile kauli za kwamba Mgao wa umeme nchi hii utakuwa ni historia?
 
MGOMBEA HUYU WA URAIS NI -KIGEUGEU

Hawakumtendea haki, ndo maana ameamua kuachana na ccm..wananchi wanampenda kwasababu wanasiasa wengi huwa hawaekelezi wanayotuahidi majukwaani..hebu na ww tafakari kama chama tawala kimetekeleza ahadi zake zote kwa miaka 10
 
yupi yule aliyesema atatumia barabara tu, na ambaye sasa Helcopter inapasha ili aanze kutumia usafiri huo?
 
Haya maneno uliyatoa wewe au mwingine?
Tulia dawa iwazame sawa sawa! Lowassa ni mtu makini, na CHADEMA ni CHAMA makini, hukuisikia ile kauli ya "over my dead body?" MACCM mwaka huu hamna chenu, Lowassa ndiye Rais anayefuata!
 
quote name="MUSSA ALLAN" post=10103442] "Unadhani LOWASSA ni mtu wa ovyo kama BABU?
Huyu hawezi kujiunga na genge la wahuni milele".

NA BADO. Leo unasema hili kesho hili, yangu macho.
 
Kila anayekosoa ni CCM basi kazi ni kubwa.
 
Mbona kila anae simama badala ya kunadi sera ni kuongelea Lowassa na Chadema tu? Je vyama vingine havipo? Ni bora ukajiuliza kwanza.
 
quote name="MUSSA ALLAN" post=10103442] "Unadhani LOWASSA ni mtu wa ovyo kama BABU?
Huyu hawezi kujiunga na genge la wahuni milele".

NA BADO. Leo unasema hili kesho hili, yangu macho.

".....walutheri mniombee sana..nchi hii haijawahi kuwa na rais mlutheri....nyerere alikuwa mroman..mkapa pia
Sasa n zamu ya walutheri"

Huo ni udini

"...kaskazin tunaonewa sana..imekuwa n sehem ya uwaziri mkuu tu...sokoine alikuwa wazir mkuu wa huku..sumate pia na mimi nilikuwa waziri mkuu..hakujawahi kupatikana rais...sasa n zamu ya kaskazini"

Hahah
huo n ukabila

Hatuwez kuchagua rais wa walutheri aitwae ngoyai
 
Back
Top Bottom