Recent content by Makumbusho

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kama una ndoto ya kwenda Ulaya, Marekani, Canada n.k, pitia uzi huu

    Mkuu safi sana kwa huu mrejesho. Tunaomba basi utusaidie kumuuliza route waliyotumia kufika huko maana hata mie nimeskia wazanzibari wanaingia huko kiurahisi sana.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ngazi za mishahara ya watu wa data entry JHPiego

    Wakuu habari, Naomba niulize kama kuna mtu anajua ngazi za mishahara kwa watu wa data entry kwa hawa jhpiego kwani nimeitwa kwenye interview na hicho ni kipengele ni muhimu kukifahamu.
  3. M

    JamiiForums Tanzania NECTA: Mgomo wa madereva haujaathiri mitihani ya kidato cha sita

    Mhhh ndo tanzania yetu... mwisho wa siku wanafunzi waliowengi wamekosa mitihani na hakuna wa kuwatetea.....
  4. M

    JamiiForums Tanzania Viwanja vinauzwa - Kimara SUCA

    me sio dalali mkuu... Eneo liko safi... Utachagua mwenyewe uchukue bonden... Mliman au juuu kabisa ya mlima.. Hili ni soko hurua kaka....
  5. M

    JamiiForums Tanzania Coldplay Fan(s)?

    mine lost n beatyfull world
  6. M

    JamiiForums Tanzania Upande wa nyumba unapangishwa sinza mori!

    Mkuu kwa hiyo bei unauwa.... Me nna nyumba inapangishwa victoria.... Ipo kwenye eneo kubwa.... Inafaaa kwa ofice.... Ina vyumba vitatu viwili master. Sitting room. Dining room na jiko. Ipo kwenye eneo tulivu na salama.. Bei kwa mwezi milion 2!!!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Viwanja vinauzwa - Kimara SUCA

    haya wadau bei kuanzia milion 7...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Viwanja vinauzwa - Kimara SUCA

    ukubwa kuanzia mita 20 kwa 20 na kuendelea.. Haviko mbali na barabara... Bei maelewano.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Viwanja vinauzwa - Kimara SUCA

    Viwanja vinauzwa kimara suka.... Kwa mawasiliano piga 0689531454
  10. M

    JamiiForums Tanzania kiwanja kinauzwa mtwara

    Kiwanja kinauzwa mtwara mbae.... Kina hati... Kina heka 15.. Kipo barabara kuu ya kwenda lindi.... Bei maelewano! Kwa mawasiliano piga 0689531454
  11. M

    JamiiForums Tanzania Toyota rav 4 j inauzwa aina tatizo lolote

    mkuu mbona plate namba umefuta namba.....
  12. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Shock absorber(shokapu) za Mbele za GDI.

    kaka me kuna mtu anataka niuzia hii gar ya mwaka 2000.... Vp ikojeeee.... Je zina usumbufu wowoteeee?
  13. M

    JamiiForums Tanzania wanted rav4

    wakuu inahitajika rav4 milango mitatu kwa m5.... iwe na hali nzuri..... aliyenayo naomba aniPM
  14. M

    JamiiForums Tanzania 7" Android 2.3 MID Tablet PC for Sale

    mkuu vp... me natafuta galaxy 10.1 vp umeshaileta na vipi unauzaje bei?
  15. M

    JamiiForums Tanzania msaada.. nimehackiwa kwe email yangu

    wakuuu naombeni msaaaada tafadhali..... kuna mtu ameihack email yangu ya yahoo... amebadilisha kila kitu from my password, security question na altenative email niliyoiweka.... nashindwa kujielewa nifanyaje maana email zangu zote za kiofic na binafsi zipo humo......
Back
Top Bottom