Viwanja vinauzwa - Kimara SUCA

ukubwa kuanzia mita 20 kwa 20 na kuendelea.. Haviko mbali na barabara... Bei maelewano.
 
yaaani kila siku watu wanalalamika humu , weka bei mtu ujue kama ipo ndani ya uwezo wako

mimi sielewi wanachoogopa kutaja bei, natamani mods wawe wanafuta post za kutangaza biashara zisizoonyesha bei halisi ya bidhaa kama post hii.
 
By Makumbusho:
ukubwa kuanzia mita 20 kwa 20 na
kuendelea.. Haviko mbali na barabara...
Bei maelewano
haya wadau bei kuanzia milion 7...

mdau, mbona bei ni juu sana?
ukubwa kuanzia 20m by 20m na bei ni kuanzia 7million.tutafika tu.
 
me sio dalali mkuu... Eneo liko safi... Utachagua mwenyewe uchukue bonden... Mliman au juuu kabisa ya mlima.. Hili ni soko hurua kaka....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom