Mhe. Godbless Lema, kwanza nikupe pole sana kwa kifungo cha miezi 4 bila hatia wala mashtaka. Pole sana.
Hii ndiyo Tanzania ya Magufuli, ni vurugu, ni unyama, ni udikteta, ni uhuni na ubabe uliopitiliza. Haya matukio ni mageni sana masikioni mwa watu wa Tanzania. Sielewi huyu Rais wa CCM A5...