Habari zenu wanajamvi kuna kitu kimekuwa kikinitatiza juu ya mtandao wa zantel maeneo ya vijijini. Huwa ninashangaa kuona line yng ya zantel inapokuwa hewani ninapokuwa maeneo ya vijijini na wakati hakuna minara ya zantel maeneo hayo. Naomba kufahamishwa zantel wapo ubia na mtandao upi wa simu...
Nani kakuambia kuwa hotuba inajenga,hotuba maneno tu kinachotakiwa ni vitendo mm huwa siumizi kichwa kusikiliza kinachoongewa na wanasiasa kwa sababu asilimia kubwa ni maneno tu.Tanzania ya leo inahitaji mtu wa vitendo zaidi siyo kama unayoyafurahia kuyasikiliza
Kuna rafiki yangu kapata division two pt 9 mwaka huu combination ya PCM, mimi nilimshauri katika selection zake aanze na UDSM kwani matokeo yake siyo mabaya. Yeye amepata B plain kwa masomo yake yote yaani physics, chemistry & mathematics.
Lakini kabla hajaenda kufanya selection akaomba ushauri...
Dogo inaonekana huwez kujenga hoja mpaka unatumia maneno makali punguwan neno la kawaida kweli kwa sabab ss tumepta jkt tumetukanwa kila aina ya tusi so usijali hilo nalo ni tatizo lako
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.