Biblia: Dawa thabiti ya mapenzi

Biblia: Dawa thabiti ya mapenzi

Haji bila kusugua got kwa Mungu tena kwa kumaanisha.

mkuu Divine,kusugua goti sana sio ndio kuwa utasikilizwa na maombi yako kutimizwa,la hasha.
Aliyesema "mkisalipo basi semeni,Baba yetu uliye Mbinguni ...." alikosea?
Kuna kanuni ya kila kitu katika maisha yetu ndani ya Biblia,na ukienenda kwayo,hakika utafanikiwa kiulaini mpaka watu wengine wataanza kukusemea mambo mabaya.
 
KWA WENYE FIKRA PANA TU BIBLIA ILIPOSEMA "Enyi Wanaume Ishini na wake zenu kwa AKILI" Mungu alikuwa anajua anachosema. Kama huna akili Mwanamke atakukoroga maisha yako yote na utaishia kusema "Women are so Complicated"

Wanawake huwa wanaongea vitu 'Kirahisi-rahisi tu' lakini huwa vinamaanisha 'Vitu Vigumu Ajabu'. Wanawake wanaweza kukwambia "Mi nataka Mwanaume anipende tu BHAASSS!! Ukidhani kwamba Upendo wako unatosha kwake UTAKUWA UMEFELI.

Wanawake wanahitaji vitu 4 na vyote VIENDE KWA PAMOJA (Perpendicularly), vitu hivyo ni;
1.HELA
2.GOOD SEX
3.CARING MAN
4.MUDA

Kuna Wanaume wanajua"Kusex" mwanamke anatosheka, na wana hela ila WAKO BUSY... Hii factor ya wewe kuwa Busy tu itamfanya mtu mwingine mwenye Muda "Amtafune kiulaini kabisa" halafu wewe utashangaa..."Mke wangu nampa kila kitu,hela za kila kitu nampa..YES, Amekaa muda mrefu uko bize unasaka hela na adui namba 1 wa Mwanamke ni

LONELINESS....
A lonely Woman can easily betrapped by anyone.. hata House boy akimpa ATTENTION endlessly anakula mzigo

Unataka Mwanamke awe wako peke yako?Fuata kanuni ya KIBIBLIA, ishi nae kwa akili....
Mpe MUDA..
Mpe HELA...
Mpe Kisago kitandani...
Mpe CARE na ATTENTION

Nimemaliza! Kazi kwenu

moja: UMPE KISAGO KITANDANI , KWA NINI USIMPE KISAGO SEBULENI, ?, pili: umpe kisago kakwibia nini?
mwisho: habari za siku mkuu.
 
mkuu Divine,kusugua goti sana sio ndio kuwa utasikilizwa na maombi yako kutimizwa,la hasha.
Aliyesema "mkisalipo basi semeni,Baba yetu uliye Mbinguni ...." alikosea?
Kuna kanuni ya kila kitu katika maisha yetu ndani ya Biblia,na ukienenda kwayo,hakika utafanikiwa kiulaini mpaka watu wengine wataanza kukusemea mambo mabaya.

Sijakataa bt jua kua shetan hawez kukuachia uoe mke ambaye Mungu kapanga kirahis. Sababu katika sehemu aliyoishikilia na anajua watu wana maumivu ni hapo. Ndio maana nasema lazima ujifunze kusali kwa bidii na uwe na subira na Mungu. Sababu hachelew wala hawai anajibu kwa wakati. Sio unaomba leo next week unataka kuoa au unaomba huku una mtu moyon. Hapo hata Mungu akikuletea mtu sahihi hutomuona sababu tayar unachaguo lako.
 
"Let your women keep silent in the churches, for they are not permitted to speak; but they are to be submissive, as the law also says. ?And if they want to learn something, let them ask their own husbands at home; for it is shameful for women to speak in church" (1Cor. 14:34-35).
 
Mkuu Divine,kwa mujibu wa biblia na mafundisho mengi ya wasomi wazuri wa biblia,Mungu wetu humpa mtu kitu atakacho,sio yeye alichokipanga.
Kuna watu wengi sana,hasa mabinti ambao wapo desperate na ndoa huwa wanaenda mbele za Mungu wakiomba wapewe mume bora na Bwana Mungu,kitu ambacho si sahihi.
Jambo sahihi ambalo wanashindwa kuelewa ni kuwa Bwana Mungu wetu alikwisha sema tumkumbushe na tuhojiane naye. Sasa kuhojiana hapo ndipo watu wengi huwa wanashindwa kufanya,maana hapo sio tu kumwachia Mungu jukumu la kukupa mke au mume bora bila ya kutaja ubora unaoutaka wewe ni upi.Mfano mimi na mrefu na napenda mke wangu awe mrefu na mweusi,then nikamwambia Mungu naomba unipe mke bora bila ya kumwambia mke bora kwangu anakuwa 1,2,3...,sasa akiniletea binti mfupi mweupe,unategemea kweli tutadumu katika mahusiano yetu ya pre marriage kweli?Ndio maana huwa tunakutana na kupendana kwa kudanganyana mwisho wa siku tunaachana,ni kwa sababu ama hautujui tunataka nini ama tunajua tunataka na kupenda nini but hatuhojiani na Bwana Mungu juu ya hayo tupendayo na tutakayo.
 
Si vyote uambavyo Mungu atakupatia. Vingine kama havikufai Mungu hakupi hata ulie. Na akikupa ujue anataka kukupa fundisho; ujifunze kupitia hapo. Kama hutaki mfupi ukute huyo mfupi ndiye Mungu aliyekuchagulia na ndiye aliyepewa ubavu wako. Atakupa mfupi na utampenda na utasahau hata kama kuna warefu. Mawazo yetu na njia zetu si kama Za Mungu. Kama aliweza pitisha wana wa israel ktk bahar ya shamu kwann ashindwe kukufanya umpende huyo mwanamke. Ndio maana anaitwa Mungu hakuna aliye kama yeye. Anafanya vitu visivyo wezekana kwetu viwe vinawezekana. Usifikir kibinadamu fikir kiroho zaid. Mungu akulinde
 
Bwana Mungu wetu ni Mwanademokrasia wa kwana na wa pekee,ndio maana hatima yetu ipo kwenye maamuzi yetu,si yake.
Yeye anachofanya ni ku regulate mambo yaende vile tutakavyo sisi,so we are the creators of our own destiny and fate.
Amen mkuu.
 
Kasome neno zaidi utanielewa nin namaanisha. Go deep usiishie kusoma neno juu juu aftr that utagundua vitu viingi ambavyo utashangaa. Tunahitaji kukua zaid kiroho tusiridhike tulipokuwa. Mungu hakupi kitu kama kina madhara kwako. Ukipata bas ujue kuna mawil ni Mungu au ni shetan. Kama ni Mungu ujue anataka upate fundisho. Kama ni shetan ujue anataka utimize kazi yake na anatafuta mlango halali wa kuingia kwako. Na akiupata huo mlango uwe na uhakika atautumia ipasavyo. Na Mungu atakaa pemben kwanza hadi pale utakapo mruhusu aingilie kati. Na usipo mruhusu kamwe hawez kukusaidia sababu Mungu kaweka maamuz ndan yetu tuamue. And jua kuwa shetan ana nguvu zake ndio maana hata hao wanao mwabudu huwapa vitu wamwombavyo. Si vyote upatavyo ni vya Mungu weka hiyo moyon mwako. Lazima uwe na Holy spirit akushuhudie ndan yako. Halafu vile vya shetan vinavutia machon lakin mwisho wake ni kilio na kusaga meno
 
Una bahati sana kitufe cha like Nimekosa, ungetia adabu na like elf 9

√ Yeye ni kiumbe dhaifu ila kinatawala
√ Ni chombo cha uzazi na mmiliki halisi na halali wa watoto wako.
√ Chombo cha starehe
√ Stress generating machine
 
"Let your women keep silent in the churches, for they are not permitted to speak; but they are to be submissive, as the law also says. ?And if they want to learn something, let them ask their own husbands at home; for it is shameful for women to speak in church" (1Cor. 14:34-35).

so what?
sso
 
KWA WENYE FIKRA PANA TU BIBLIA ILIPOSEMA "Enyi Wanaume Ishini na wake zenu kwa AKILI" Mungu alikuwa anajua anachosema. Kama huna akili Mwanamke atakukoroga maisha yako yote na utaishia kusema "Women are so Complicated"

Wanawake huwa wanaongea vitu 'Kirahisi-rahisi tu' lakini huwa vinamaanisha 'Vitu Vigumu Ajabu'. Wanawake wanaweza kukwambia "Mi nataka Mwanaume anipende tu BHAASSS!! Ukidhani kwamba Upendo wako unatosha kwake UTAKUWA UMEFELI.

Wanawake wanahitaji vitu 4 na vyote VIENDE KWA PAMOJA (Perpendicularly), vitu hivyo ni;
1.HELA
2.GOOD SEX
3.CARING MAN
4.MUDA

Kuna Wanaume wanajua"Kusex" mwanamke anatosheka, na wana hela ila WAKO BUSY... Hii factor ya wewe kuwa Busy tu itamfanya mtu mwingine mwenye Muda "Amtafune kiulaini kabisa" halafu wewe utashangaa..."Mke wangu nampa kila kitu,hela za kila kitu nampa..YES, Amekaa muda mrefu uko bize unasaka hela na adui namba 1 wa Mwanamke ni

LONELINESS....
A lonely Woman can easily betrapped by anyone.. hata House boy akimpa ATTENTION endlessly anakula mzigo

Unataka Mwanamke awe wako peke yako?Fuata kanuni ya KIBIBLIA, ishi nae kwa akili....
Mpe MUDA..
Mpe HELA...
Mpe Kisago kitandani...
Mpe CARE na ATTENTION

Nimemaliza! Kazi kwenu

Nilifikiri kuna mahali haya yameandikwa kwenye biblia..! Kumbe laah.....

Ni mtazamo tuu..
 
duh kwa maisha haya town, nikikumbuka nilipotoka sitaki hata kulaza damu, ngoja kwanza nitafute hela baadaye nitajaza hicho kipengele cha muda na hela
 
so what?
sso

Hauoni inavyozidisha mapenzi hapo? Kama lugha imekupiga chenga soma ya Kiswahili:

1 Wakorintho 14:34-35Neno: Bibilia Takatifu (SNT)

[SUP]34 [/SUP]wanawake wanapaswa kukaa kimya kanisani. Hawaruhusiwi kusema, bali wanyenyekee kama sheria inavyosema. [SUP]35 [/SUP]Kama wakitaka kuu liza kitu, wawaulize waume zao nyumbani. Kwa maana ni aibu kwa mwanamke kuzungumza kanisani.
 
Asante FaizaFoxy, maana wengine tushajengewa mtazamo mbaya na dada zetu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom