Recent content by makopakopa

  1. M

    JamiiForums Tanzania hodi mabibi na mabwana

    nilipotea mda mrefu nashukuru mungu kuja kukutana nanyi tena mungu awabariki
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki jimbo la Songea yalaani maagizo ya Serikali kulitaka kanisa hilo kulipa kodi kwa vituo vya kulelea watoto yatima na wasiojiweza

    siwez kulikalia kmya hil jambo kwa sababu natambua mashirika yanayojitokeza kwa ajil ya kutoa misaada kwa hv vituo sio tegemez mm nmekulia chuo cha watoto yatima natambua fika mazngira tulyokuwa tunayaptia makanisa huwa yanajitolea sana na kutengeneza njia ambazo zinakwamua mahitaji ya sehem hyo...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Siku ya wanawake Duniani (Mliman City), inaonyesha kampeni zimeanza.

    figisufigisu zisizoisha kwan hauna jilan au mzaz alieshirik hapo ili ukamuulze vizur ndo uteletee huo uzi
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nikaribisheni mwenzenu

    anhaa ok ahsante
  5. M

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    duh! power to you
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wanapenda ma handsome

    me nadhan tutazid kudanganyana maana mke wa tajir anatoka na muosha magar me sijui tunakwamia wap
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nikaribisheni mwenzenu

    kwan limefanyaje jaman
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nikaribisheni mwenzenu

    jaman kwan ugomvi
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mrisho Mpoto amuomba Nasib Abdul kufika kwenye msiba wa Ruge Mutahaba

    ameweka hadhira kwa maan mtambue kuwa tanzania kuna watu wa aina gan kwa yeye anakosa gan alaf issue kama hz ambazo znatokeaga kila mtu anakuwa na mtazamo wake nyie nao angalien leo siku ya ngap tang msiba utokee na wangap wanajua eti diamond pekee asitambue hivi hlo ni beef la aina gan mtu...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nikaribisheni mwenzenu

    Natumaini mtakuwa mko poa na ni wazima wa afya nawapenda sana
  11. M

    JamiiForums Tanzania Posh Queen: Mpenzi wangu anapata tabu sana

    sasa alimtaka kwa ajili ya nini kama sio kufanya maonyesho na dem wake
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nampenda sana Relief Mirzska

    duh! asa ww unaacha mbachao kwa msala upitao shauri yako mae
  13. M

    JamiiForums Tanzania Marekani yawatahadharisha raia wake wanaotaka kuitembelea Tanzania dhidi ya Ugaidi na uhalifu

    huo uwongozi umeshaona kwamba tz kwa sasa hivi wamekua wajanja kwa hiyo hapo wanatafuta njia ya kuwadanganya raia wake wasije kuchangia uchumi wa nchi walijua bado ni shamba la babu #wamefeli waache kuja 2
Back
Top Bottom