Recent content by Makoko

  1. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri nilipo pigwa mkono na Traffic Police wiki jana

    Hahahahahahahah...Hii kali aiseee
  2. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Shule ya Awali na Msingi: ADA ISIZIDI 4.5M

    Basi muandikie huyu email...mpaka kesho atakua kashakujibu...secretary@morogorointernationalschool.com
  3. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Shule ya Awali na Msingi: ADA ISIZIDI 4.5M

    Mkuu nimekutumia hiyo attachment hapo... ni shule nzuri sana, maana mimi nakaa Morogoro na nategemea kupeleka mtoto huko.... Asante.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Mwenyekiti wa CHADEMA alivyochinjwa... [Extreme Images]

    Kwanza natoa pole kwa wafiwa na chama cha Chadema. Jamani nawaasa sisi wananchi, tusitumike jamani na hawa wanasiasa mpaka tukafikia kiwango cha kuuana. Hii dam haitapotea hivi hivi, maana mwenye kutoa uhai wa mtu ni Mungu mwenyewe. Naamini watu hawa watapatikana tu. Aisee Tanzania tunaelekea...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta sample za research topics...

    Mimi nafanya PhD ya Marketing, kama uko seriouse tungeweza kusaidiana...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mke wa Mtu ananitaka

    Life is short, explore the world....
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

    Jamani, mbona mnataka kuuana hivyo kwa kumwambia mwenzako akafanyiwe operation? Hilo sio tatizo bwana mkubwa, kuna vidonge vyake fulani unakua unadumbukiza huko 'down' mbona kitaisha tuu. Mimi kuna jamaa yangu mmoja aliamua kukikata hiko kinyama kwa operation chupu chupu tuzike... so kwa ushauri...
Back
Top Bottom