Recent content by Makoja

  1. Makoja

    Julius Mtatiro: Kwa Heri Masogange hatukukutendea haki kama taifa

    MI nikajua alieleta hii post huku ni Mtatiro kumbe ni copy and paste ndio maana wachangiaji ni watano mpaka sasa ila ni ujumbe mzuri sana.
  2. Makoja

    Hawa waganga wa kwenye simu huwa nawajibu hivi...

    Hawa jamaa hadi kero sijui nani anawatumia namba zetu, je na wewe ulishakutana na changamoto hii na je uliwajibu vipi?
  3. Makoja

    Kama umemaliza chuo mwaka 2016 na 2017 na hauna kazi pitia hapa

    Duhh naomba mniwie radhi hii Pdf file inagoma kuiupload.
  4. Makoja

    Kama umemaliza chuo mwaka 2016 na 2017 na hauna kazi pitia hapa

    Colleagues, We have Internship opportunities from Geita Gold Mine. For more information, kindly open the attached document.
  5. Makoja

    Muda wa kuhesabu Mimba

    Jf doctor naomba msaada wa kueleweshwa mimba inaanza kuhesabiwa muda upi?
  6. Makoja

    Msaada: Majina ya kiume na ya kike yanayoanzia na J

    Jolie Joachim Jones Jurie Jill Johnson James Jeff Jim Jeremy Jerry Jombo Jughead Jackson
  7. Makoja

    Ishi na mkeo kwa akili

    BIBLIA ILIPOSEMA "Enyi Wanaume Ishini na wake zenu kwa AKILI" Mungu alikuwa anajua anachosema.Kama huna akili Mwanamke atakukoroga maisha yako yote na utaishia kusema "Women are so Complicated" Wanawake huwa wanaongea vitu 'Kirahisi-rahisi tu' lakini huwa vinamaanisha 'Vitu Vigumu Ajabu'...
  8. Makoja

    Kamwe usijaribu kuishi mbali na mpenzi wako

    Umeona eeee najua wengi wamenielewa ila wachache watataka challenge.
  9. Makoja

    Tuliowahi kukumbushia mapenzi na wapenzi wetu wa zamani tukutane hapa

    Duhhhhhhhh na wewe ni noma kula Sister.
  10. Makoja

    Tuliowahi kukumbushia mapenzi na wapenzi wetu wa zamani tukutane hapa

    Mapenzi Haya jamani acheni yaitwe mapenzi, miaka kumi na Tatu iliopita nilikuwa na Mpenzi wangu ambae kutokana na sababu zilizo kuwa nje ya uwezo wangu nilipoteza mawasiliano yake kutokana na yy kuhamia mkoa mwingine na mimi nilipoteza kikaratasi nilicho kuwa nimesave namba yake lkn baada ya...
  11. Makoja

    Usiseme hukukumbushwa!!!

    Leo ni siku ya wajinga Dunian, Jihadharini na Habari zinazosambazwa kabla ya saa nne kamili asubuhi.
  12. Makoja

    Zama Zimebadilika !!!

    Kweli zama Zimebadilika nakumbuka zama zile Tulikuwa tukifunga shule Mzazi anakulipia nauli uende kwa shangazi Dar au Mwanza au Arusha ukifika huko unafurahia likizo mwezi mzima na siku ya kurudi utafungashiwa zawadi hadi raha lkn zama hizi hata ukimwambia Ndugu yako utakuwa na safari yako...
Back
Top Bottom