Recent content by Makobota

  1. M

    Mwigulu Nchemba afanikisha harambee Milion.19, Aivaa CHADEMA

    mungu hadhihakiwi chochote apandacho mtu ndicho atakachovuna.ukiwa mnafiki utavuna unafiki muda ukifika.
  2. M

    Nape: Gazeti la Mtanzania wamepotosha kuhusu kauli yangu!

    Kalewa madaraka huyo cheo bandia kina tabu,
  3. M

    Kura za CCM ziko huku: Huku ndiko zilikopotelea...

    magamba someni alama za nyakati mtakuwa vipofu mpaka lini
  4. M

    Walimu Watakapoanzisha Kampeni Rasmi Madarasani Kuing'oa CCM

    hawa waalimu nao wasubiri kwa hamu sana 2015
  5. M

    ITV/Radio One Kurusha Kongamano la Amani UDSM Tarehe 28.7.2013

    kama mwigulu yupo sikanyagi!
  6. M

    Mbowe, Slaa, Zitto, Lissu, Mnyika na wabunge wengine kutikisa Tabora

    Jipeni moyo mkuu chadema mungu anawatumia kama alivyomtumia musa kule misri kuwakomboa wana wa israel!tuko nyuma yenu.
  7. M

    Tujadili makato ya LUKU katika manunuzi ya Umeme (Service Charges)

    hilo jambo limenitesa zaidi ya miaka mitatu;mpaka nije nigundue, nimepoteza hela nyingi sana,sasa hivi naipenda tanesco yangu. Nanunua umeme wa sh,2000/=,napewa unit 27.30 nilichofanya niliandika barua kwa meneja wilaya wa tanesco kuomba nitoke tarif one kwenda tarif o.basi ukiwa tarif o,hizo...
  8. M

    Tujikumbushe Majina ya wabunge wa zamani

    simion mblinyi
  9. M

    Ludovick Joseph akamatwa na Polisi...

    Changa la macho hiloooooooooo! Hiyo ni kama move nyingine
  10. M

    Mwendesha Mashtaka Mkuu ICC atua nchini

    Ngoja afikike kwao tuone kitakachotokea.
  11. M

    Mbunge wa Arusha amhenyesha diwani wa CCM kata ya Nadosoito

    Hiyo mbolea ya ruzuku inapelekwaje kwa diwani?Hakunaga mawakala wa pembejeo huko?Tatizo la Lema angeuliza mfumo uliotumika kwanza kabla ya kukurupuka na huyo diwani.Labda angewakusanya wengi mpaka waliopindisha mfumo wa usambazaji wa pembejeo.Wengi tunajua wanaotakiwa kusambaza pembejeo ni...
Back
Top Bottom