Brother, hapa kwenye VAT rudi kasome uelewe vizuri. Hakuna Mfanyabiashara analipa VAT, VAT analipa mlaji wa mwisho hata kama mfanyabiashara si registered. Mfanyabiashara ana-claim VAT ikiwa VAT aliyokusanya toka kwenye Mauzo ni ndogo kuliko aliyolipa kwenye manunuzi ya bidhaa anazouza, na hii...
Brother, VAT analipa mnunuzi wa bidhaa/huduma wa mwisho na si mfanyabiashara. VAT inayoongezwa kwenye bidhaa au huduma anapokwenda kununua mfanyabiashara inaongeza bei ya hiyo bidhaa na mlaji wa mwisho ndiye analipa hiyo VAT siyo mfanyabiashara.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.