Recent content by makinikia halisi

  1. makinikia halisi

    Utaalam uheshimiwe, ilipozuiliwa Fastjet watu wakaleta siasa. Boeing wanakiona cha moto

    mavuvuzeta ya ccm kwenye unora wao . nilidhan umeandika vya maana kumbe utumbo nyama,hata jiwe amakucheka Wattamzania sio wajinga kama familia yako.
  2. makinikia halisi

    Rais Magufuli nimekuvulia kofia

    wewe ni kama shetani anayenisalimia bwana asifiwe,sitokuitikia nitakukemea upotelee mbali
  3. makinikia halisi

    Kutoka Gerezani / Mahabusu na kuja Kueleza ya huko huwa kuna Tija ya Kimaendeleo au ni ' Upuuzi ' tu uliozoeleka?

    umekunywa ugimbi wa wapi, unampangiaje mtu nn cha kufanya...kwan alivyokuwa mahabusu ulimsaidia maumivu/mateso aliyokuwa anayapata. acha wivu wa kishoga kwenye maisha ya wa2/ww
  4. makinikia halisi

    Mkurugenzi wa TBC Dr Ryoba: Nina moyo wa mwendawazimu

    kule kichaaa huku mwendawazimu....subiri misukule yao ije.
  5. makinikia halisi

    Halima Mdee akamatwa na Polisi kwa tuhuma za uchochezi dhidi ya Serikali, ahojiwa na kunyimwa dhamana

    Magu mzazi lizazi... Hapo halima hajatukana wala hajamtukana mtu, ametupa jiwe gizani anayeumia ndo muhusika amejishtukia kwa ujinga wake. Hapa hana kesi ya kujibu wala hakuna sheria itakayomfunga, n sawa mlivuokurupuka na kauli ya Lisu dikteta uchwara mlishia kuangukia pua kwa kukurupuka.
  6. makinikia halisi

    Rais Magufuli alikuwa na nafasi nzuri ya kujijengea heshima ya kudumu

    mmmh!! huu ni msumari wa mwisho kwenye geneza.
  7. makinikia halisi

    Rais Magufuli alikuwa na nafasi nzuri ya kujijengea heshima ya kudumu

    mmmh!!! msumari wa mwisho kwenye JENEZA.
  8. makinikia halisi

    Hebu tuvivae viatu vya Tundu Lissu kabla ya kumjadili

    Mbona unaumia utazani anatumia pesa za bibi yako,arudi nyumbani kwani anakaa kwenu,akirudi utamuhudumia ww, eti anazurula na ww kazurule,unazan ulaya ni K/Koo au mazense useme anazurula kama ww...kichwa maji ww bk7
  9. makinikia halisi

    DC Kigamboni: Serikali ya Tanzania haina askari wazembe kiasi cha kufyatua risasi zaidi ya 30 halafu wakashindwa kumuuwa Lissu

    Poleni sana lumumba fc. juhudi kubwa zinatumika kutetea jiwe na Maliyamungu bashite. Nnajitoa akili kutetea ujinga. Vip ile marufuku ya police kuvaa tshrt za pray for lisu, Vip ile police kuzuia viongoz wa dini kusoma albadili kwa wasiojulikana..Sabb hzo tu zinatosha kujiua wahusika na...
  10. makinikia halisi

    Tundu Lissu anatufikirisha - Hivi wangekuwa Watano (5, ingekuwaje? Tungekuwa wapi?

    mwuluze anayekusanya kodi. TL n mbunge wa taifa ...Mr prezda ajaye.
  11. makinikia halisi

    Tundu Lissu anatufikirisha - Hivi wangekuwa Watano (5, ingekuwaje? Tungekuwa wapi?

    Kwa sasa TL anatosha kutufikirisha, kule lumumba anawakidukukisha . TL vs government =(lumumba no air).
  12. makinikia halisi

    Musiba Cyprian kwa njia hii haumtetei Rais ila unamuaibisha, na kuwadhalilisha wanaomtetea kwa hoja

    Shostito msba bhna,akishalewa dengerua anacheuwa popote pale. Hizo ndizo akili za mafxiem. Aibu tupu...
  13. makinikia halisi

    Lissu: Unaweza kupingana na serikali yako kama Mwanasiasa wa Upinzani sio kama Msaliti wa Taifa

    duuh!!! mungu hatetewi huwa anajitetea daima..sasa hyo mungu mtu wa lumumba mbona anatetewa sana. Ukipenda kusifiwa pia upende kukosolewa. Kwa kifupi ni hivi ccm mko wachache sana. hamjai kwenye ballot box. kinachowabeba ni dola manlijua hilo. kwa kifupi watanzania walio wengi hawaipendi ccm...
Back
Top Bottom