Tundu Lissu atoa salamu kwa Serikali, aitaka ijitathimini

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899


Tutaungana Moja kwa Moja Kati ya Mwanahabari Huru na Kwanza Tv kwanzia majira ya saa Tatu kamili saa za Tanzania kwenye Mazungumzo ya Moja kwa Moja Mubashara na Tundu Lissu
===============

Tundu Lissu: Aishangaa Serikali kupitia watendaji wake kwa matamko wanayoyato

Tundu Lissu: Kuhusu kauli ya Waziri Lugola kusema hakuna CCTV eneo aliloshambuliwa Lissu, "Sizungumzi ya kuambiwa, hiyo CCTV iliwekwa mara tu baada ya Medard Kalemani kuhamia katika jengo like

Tundu Lissu: Yale majengo yanalindwa Massa 25, na hao walionishambulia walinifuata mpaka getini na hao walinzi wanaolinda lile geti siku nashambuliwa hawakuwepo, swali ni Je, nani aliyewaondoa?

Tundu Lissu: Hao wanaopiga kelele kuwa nirudi nyumbani wameshawai niuliza naendeleaje au umetibiwaje?

Tundu Lissu: "Yale majengo yanalindwa Massa 25, na hao walionishambulia walinifuata mpaka getini na hao walinzi wanaolinda lile geti siku nashambuliwa hawakuwepo, swali ni Je, nani aliyewaondoa?"

Tundu Lissu: Akihojiwa na Maria Sarangi Mambo yakiharibika kwa sababu ya Serikali, lawama zote zitaelekezwa kwa Rais, Katiba yetu inasena Rais hawajibiki kufuata ushauri wa mtu yeyote sasa Rais akiamua kuwajibika kwa ushauri lawama ni juu yake."

Tundu Lissu: "Rais wetu ni Mkuu wa nchi, ni mtu mwenye nguvu sana na Rais wetu anasema mwenyewe kwa maneno yake kwamba anataka 2020 kusiwepo na vyama vya upinzani, anamwambia Lowasa akawaambie wenzake wataishia magerezani sasa tukimsema tunakose?"

Tundu Lissu: "Wanaosema nimepona hasa Spika, niwaambie tu kuna kautaratibu wameandika kuwa ni wajibu wa madaktari wa Bunge kufuatilia hali ya mgonjwa, sasa madkatari waje kufuatilia waache blah blah wanazopiga
 
Kupambana na Lissu lazima uwe vizuri upstairs vinginevyo lazima utaanza kutumia matusi, matofali, viwembe, masalo, mawe na hata risasi ikibidi maana kumshinda kwa hoja ni ndoto tena za mchana za taahira.
sasa kwa hao wakijani nani yupo vizuri upstairs
 
Maneno ya busara kabisa ya mzalendo asietiliwa shaka kwa vitendo vyake ,kauli zake na misimamo yake .
 
Huyu mzee hakika anajielewa nanimsomi waukweli kabisa heko lisu natamani wapatikane watu kama wewe kwenye chamachangu tawala wenyeuweledi na wanaharakati kama wewe,hakuna mvumilivu kwenye kuuwana tusifu mengine kwa hili TL endelea kupasua na MUNGU akutanhgulie.
 
Back
Top Bottom