Recent content by Makini Buz

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tuzo ! Tuzo ! Miaka 10 ya JF

    14. Mti wa Chuma noma sana kwa mambo ya uchawi
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mti wa Chuma ni nani humu JF?

    Ni juhudi zangu lkn alinipa hilo wazo ambalo limenisaidia.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mti wa Chuma ni nani humu JF?

    Mkuu nimeshajibu hilo.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mti wa Chuma ni nani humu JF?

    Mkuu nilifanya biasha ya kuku wa kienyeji nanunua kijijini napeleka mjini. Niliaza na mtetea 10 kwa sh6000 na kuuza sh12,000 na Jogoo8 kwa sh8000 na kuuza sh15,000-18,000. Ilifikia hatua nachukua hadi kuku 70.Nimezungusha mara 15 nikafungua duka Same kwa mtaji wa M5.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mti wa Chuma ni nani humu JF?

    Tumngojee Mshana Jr
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mti wa Chuma ni nani humu JF?

    Nimekuwa nikifuatilia post mbalimbali za member huyu Jf hasa jukwaa la Intelligence, amekuwa akipost elimu/uzi kuhusu mambo ya kiroho yaani vitu visivyoonekana. Hasa habari za majini nk. Pia nakumbuka mwaka jana nilipost nikiomba ushauri wa kufungua biashara kwa mtaji wa laki150 alinishauri...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tiba: Tatizo la kutoshika ujauzito.

    Kwa hiyo unataka kusema hayo maradhi husababishwa na majini?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya udi na faida zake

    Wakuu habari. Nimeona mara nyingi watu huchoma udi maduka majumbani mwao, najiuliza ni kwa sababu zipi, zina faida gani na kuna aina ngapi za udi maana harufu hutofautiana. Asanteni.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ajira na Mikopo

    Habari wanaJF. Naamini humu kuna wataalamu wa sheria. Mimi ni mwajiriwa nina zaidi ya miaka miwili kwenye ajira,sasa hapo nilipo nimekumbwa na matatizo kifamilia, nimeona bora niache kazi nikasimamie shughuli zangu binafsi kijijini. Lakini nina mkopo ambao makato yake haijaisha. Je naweza...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Utengenezaji wa wine ya ndizi

    Mkuu kuna ukweli wowote kwamba amira hutanua moyo? au ni uzushi tu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Utengenezaji wa wine ya ndizi

    Naamini wanajukwaa mko wazima. Naomba kufahamu jinsi ya kutengeneza wine ya ndizi kwa wataalamu wanaofahamu. Shukran
  12. M

    JamiiForums Tanzania Je, unatafuta Rupia ya Mjerumani?

    Hiyo kitu nasikia ni nadra kupatikana pia ni ghali sana. Vp kuhusishwa na majini ni kweli?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Sheria: Ajira na mikopo

    Mkuu hii ni ngumu sana ila asiache kazi. Dah! wengine wanachezea kazi wakati kupata kazi ni vigumu
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Mkuu nimesoma uhasibu ngazi ya cheti n sales& marketing ila hakuna ajira ya maana
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Eid Mubarak ndugu zangu waislamu. Kuuliza ni moj ya njia ya kufahamu. Nina kiasi cha laki150 sitaki niharibu je, biashara gani naweza kufanya iwe kama kianzio?Nipo mkoa wa Kilimanjaro nimehitimu chuo mwaka jana lkn sina issue yeyote. Pls wanajamvi ushauri wenu ni muhimu sana kwangu.
Back
Top Bottom