Mti wa Chuma
JF-Expert Member
- Jul 2, 2015
- 331
- 99
Habari msomaji wa uzi huu.
Kuna tatizo kubwa ambalo huwakumba wanawake. Tatizo la kutoshika ujauzito.
1.OVARIAN CYST ni tatizo ambalo huwashika watu wazima wenye umri wa kuanzia miaka 50 sababu huwa ni kizuizi cha kutoshika ujauzito. Lakini hii hali inapotokea kwa mtu wa umri wa chini ya hapo itabidi atibiwe kwa kuwa ni vigumu kupata uzazi.
2.FIBRONEGEN hii ni tatizo la mirija ya uzazi kuziba. Lakini unaweza kushangaa mtu anatibiwa hospitali ila baada ya wiki kadhaa hali hiyo hurudi tena kuziba. Hali hii husababishwa na jini mahaba aina ya MMU MULDANI.
Jini huyo huvuruga hedhi kutoka mara kwa mara, hedhi kutotokea, kutokwa na uchafu wa njano au nyeupe ukeni tofauti na ule wa jimai, kutokua na hamu ya tendo la ndoa na kuchukia chukia kila mara pia kuwachukia wanaume. Ili kuondokana na hali hiyo unahitaji kisomo kwa mtaalam.
Kwa tiba ya Mwenyezi Mungu sema nami.