Recent content by Makingila

  1. M

    Wabunge wataka Milioni 130 badala ya 90 kama mkopo wa gari

    Ni mkopo ndiyo; lakini kumbukeni kila senti wanayokopa wabunge serikali huchangia 50%. Wakichukua Tshs 120m kumbukeni serikali itatoa ruzuku ya Tshs60m kwa kila mbunge.
  2. M

    Ayub Rioba: Why is Obama ending Africa trip in Tanzania?

    I would like to hear from a truly Tanzanian,particularly our president of URT, telling the US president that at this moment Tanzania is looking how is going to help America. It high time Tanzania stands firmly and proudly that, we are able to help other developed countries, including USA. With...
  3. M

    CHADEMA tumbo joto, ni kuhusu uhusika wao kwenye mlipuko!

    Ndugu wana JF, sielewi kwa nini tunafanywa tuamini kuwa CDM wangeweza kudiriki kutaka kujiua wenyewe au kudhuru viongozi wake au hata wanachama wake. Ni mtu tu aliyefilisika fikra ndo anaweza kuwaza hayo. Haidhaniki wala kuja akilini kwamba CDM hawakujiamini kiasi hicho cha kutakupata ushindi...
  4. M

    picha ya mh pinda

    Siamini kama ni maneno ya yule mtu aliyejiita ni mtoto wa mkulima.
  5. M

    Pinda akamatwe na ashitakiwe ni mchochezi.

    Hakika hatuna kiongozi na msimamizi mkuu. Huyu bwana si ndiye aliyewahi kulia hadharani?? Tena akasema atayekutwa au kutuhumiwa kuua maalbino naye auawe hapo hapo? Nasikia huyu bwana ni mwanasheria kitaaluma. Kama kweli ni mwanasheria nguli basi ni doa kubwa kwa taaluma.
  6. M

    Mwenye kupinga 'kauli ya Pinda', huyo ni adui wa nchi.

    Ni lini Tanzania mtu kama Edward Moringe Sokoine??? Mtu atakayesimama na kusema jambo, jamii nzima ikakubali ns ardhi kutetemeka kwa kauli zake? Ni lini Tanzania itampata PM aliye mtu watu?
  7. M

    VIDEO: Mlipuko wa Bomu Arusha - Sehemu ya Kwanza...

    Haiwezekani. Kwani nini kilikuwa chanzo cha wenzetu kule Misri na Tunisia. Jamii kukosa uvumilivu dhidi ya utawala dhalimu wa serikali dhidi ya raia wao wasio kuwa na hatia. Ama kweli watanzania tu wapole na kondoo sana. Sehenu Sehemu nyingine duniani maandamano yangekuwa yameshaeenea nchi...
  8. M

    VIDEO: Mlipuko wa Bomu Arusha - Sehemu ya Kwanza...

    Haiwezekani. Kwani nini kilikuwa chanzo cha wenzetu kule Misri na Tunisia. Jamii kukosa uvumilivu dhidi ya utawala dhalimu wa serikali dhidi ya raia wao wasio kuwa na hatia. Ama kweli watanzania tu wapole na kondoo sana. Sehenu Sehemu nyingine duniani maandamano yangekuwa yameshaeenea nchi...
  9. M

    Tanzania ni zaidi ya CCM, Chadema na CUF

    Ndugu zangu wanasiasa na hasa viongozi wakuu kutoka chama tawala cha CCM, tambueni kuwa Tanzania ni nchi nzuri, ya amani na tulivu. Kwa hiari yetu tulikubali kuingia katika mfumo wa vyama vingi. Bila shaka viongozi na wanachama wa CCM, wanatambua kwa nini tuliamua kuingia katika mfumo huu...
  10. M

    Mwenye kupinga 'kauli ya Pinda', huyo ni adui wa nchi.

    Inapofika Waziri Mkuu,aliyemsimamizi na mtendaji mkuu wa shughuli za serikali na kiongozi wa shughuli za serikali bungeni, anafikia kusema aliyosema, wazalendo na wanademokrasia wa kweli hawaamini masikio yao. Ni huyu huyu hivi punde tu (alipoteuliwa kuwa PM) alijitambulisha kama mtoto wa...
  11. M

    Mbunge "Sugu" apata ajali ya gari!

    Cdm inapitia majaribu, lazima wana Cdm wote tusimame imara. Tupo nyuma yako kamanda, na pole sana kwa ajali. Tunakutakia recovery njema ili urudi kwenye mapambano. Wana Cdm na jamii yote wapenda amani, wapambanaji wote tutambue kuwa mara baada ya majaribu yote haya mwanga wa matumaini na ushindi...
  12. M

    MREMA: Biashara ya kugombea Urais sina MTAJI nitamuunga mkono LOWASSA 2015!!

    Kugombea uchaguzi 2015 kwa bwana Lowasa ni karata tosha kwa upinzani kuibuka kidedea. Acha mzee wa Kiraracha aanze kumfanyia kampeni, lakini aibu inamsubiri.Lakini jamii budi iwaogope na kuwakemea watu wanaojipotisha lep kwa mgongo wa harambee ilihali hizo ni kampeni za kisiasa.
  13. M

    Live Feeds: Kutoka mahakama Kuu ya Rufaa Kivukoni - Rufaa ya Lema, Dec 04, 2012

    Kutujuza muhimu sana....Ahsante mkuu. Tunategemea haki kutendeka leo
  14. M

    Mwl. JK Nyerere kuvaa nguo za rangi ya kijani zinachowakilisha chama alichokiasisi

    Mimi nadhani Mwl J K Nyerere hakuwa muumini sana wa mavazi, eti uhalisia wa mtu unajikita katika kuvaa kwake, ndo maana hakuona umaana hasa wa kuvaa hiyo rangi ya chama. Falsafa ya chui kuvaa ngozi ya kondoo ili hali ndani ni chui nadhani ni moja ya vitu ambavyo Mwl hakuvitilia umuhimu. Matendo...
  15. M

    Barua ya Waislamu kwa Katibu Mkuu wa CCM Kupinga Mahakama ya Kadhi...

    Masuala ya dini ni ya mtu binafsi. Ni imani yake mwenyewe. Imani yake hiyo haina haja kwa mtu mwingine kujihusisha nayo, na wala Serikali (dola) haina sababu kujihusisha nayo
Back
Top Bottom