Recent content by makhans

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mbinu na uchambuzi kuhusu RS Berkane

    Kwamba ndugu Mtotokautaka unataka kubeba jumla hiyo pisi au mi sijaelewa vizuri?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina: Deni la Serikali lapaa kutoka Trillion 62.4 mwaka 2021, Hadi kufikia Trillion 96.9 mwaka 2024 !!

    Gharama za miradi hii yote zililipwa kwa 100% au mama anakopa ili kukamilisha miradi mikubwa aliyoianzisha hayati Magufuli?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wako wapi mabinti waliotajwa na FA kwenye wimbo wa “Mabinti”?

    ...Najivisha ubwege ili yangu yaende... ...Usidhani naimba mapenzi ili ule mlupo unirudie...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wako wapi mabinti waliotajwa na FA kwenye wimbo wa “Mabinti”?

    ...wajinga wakiwa na jazba ya wajanja yanaenda sawa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Haya ndo yatakuwa Matokeo ya leo na kesho ya mechi za CAF: Constantine vs Bravos(Bravos atashinda), Yanga vs TP Mazembe(Mazembe atashinda)

    Mofokeng 22' P. Maswanganyi 50' D. Hotto 85' Cape Town City Cape Town City Orlando Pirates Orlando Pirates Wed, 8 Jan 20:30 More matches
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwa yanayoendelea CHADEMA, na suala la Abdul bado mnaamini saini kwenye barua ya kuwaidhinisha kina Mdee ilifojiwa?

    Bosi tulia basi kwanza, unaonekana una hoja nzuri lakini umekosa utulivu kwenye kuandika. Binafsi sijapata muunganiko wenye kuleta maana kwa namna ulivyowasilisha maoni yako.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kesi ya P Diddy ni ndogo sana,wazungu hawana tatizo na mapenzi ya jinsia moja

    Bosi hebu tulia kwanza ili uandike vizuri na kila mtu aelewe, au una mafua chief?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Vilabu mmesikia huko: Kukodi Uwanja wa KMC ni milioni 6

    Kamwe haitakuja itokee.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Gaddafi hakuuwawa sababu ya mafuta.

    Duuuh
  10. M

    JamiiForums Tanzania Basi gani la mkoani ulipanda ukajutia?

    Colour star Tabora to Dar safari ilianza saa 12:08 asubuhi Dar tukaingia saa 4:42 Usiku. Kila kituo linasimama.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma wale wa madaraja sikilizeni hapa mpaka mwisho

    Sawa, tumeelewa kiwango cha utoto ulichonacho.
  12. M

    JamiiForums Tanzania You cant be a rich, without shady or dirty deals

    Behind every great fortune there is a crime-Mario Puzo from the book "The Godfather"
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Yanga na Belouizdad imeweka rekodi hizi

    Yanga imekua timu ya kwanza kufunga idadi ya goli 4 na Belouizdad kuwa timu ya kwanza kufungwa goli 4 katika hatua ya makundi kwa msimu huu katika CAF Champions league. Hongera Yanga kwa rekodi hii. Kwa kifupi, hakuna timu iliyowahi kufunga goli nne katika mechi moja katika hatua ya makundi...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Makame: Hakuna haja ya kumsafirisha Mstaafu Mwinyi kwa matibabu kwasasa (Tumuombee)

    Bosi, hii ni barabara ya halmashauri (yenye lami iliyokolea)inaunganisha ofisi ya DC na ile ya DED. Barabara hii imeanza kujengwa tangu mwaka jana miezi ya katikati. Aidha, hiyo barabara yenye ranging iliyopauka ni barabara ya Kisiju (imejengwa mwaka juzi).Kwahiyo, ni vyema tukawa tunasupport...
Back
Top Bottom